PENZI LA RAY NA CHUCHU SI SIRI TENA...WENYEWE WAITANA BABY FACE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Penzi kati la waigizaji wawili maarufu ndani ya bongo movie, Vicent Kigosi – Ray na Mwanadada Chuchu Hans limekuwa sio siri tena baada ya hivi majuzi mwanadada Chuchu hans kuweka picha mbalimbali za Vicent kigosi na yeye kwenye mtandao mmoja wa kijamii huku akiandika “I love my babyface NO MATTER WHAT (TOO MUCH)” akimaanisha kuwa anampenda sana mwigizaji huyo  kwa hali yoyote ile na anampenda sana.

Penzi hilo limekuwa la utata baada ya kuleta mtafaruku hapo siku za awali baina ya waigizaji Johari na chuchu Hans kudaiwa kuzitwanga wakimgombania muigizaji huyo.
Source:Bongo Movies
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. full kuambukizana mafua

    ReplyDelete
  2. Ray mbona umekonda hivyo? Ni unafanya diet? Kiukweli umechukiza tulikuwa tumekuzoea na Mwili wako mzuri ukivaa suti manshallaa ss hp suti utavaa au itakuvaa? Au ni stress za maisha? Mm ni shabiki wako napita tu Kk napenda sn movie zako hasa ya I hate my birthday

    ReplyDelete
    Replies
    1. mmmmh mdau una dukuduku....all in all unene c mzr kiafya jmn

      Delete
  3. ray nae mpezi ampate wapi yeye mwenyewe shogo! ameamua kujijusha kwa kupaka hina kuwa yeye ni mtoto!

    ReplyDelete
  4. MASIKINI CHUCHU KASHAPATA H.I.V TAYARI!

    ReplyDelete
  5. Wwwhhaaaattt msolopa ganziii!!!

    ReplyDelete
  6. USISHANGAE NDUGU YANGU,MBONA RAY NI + SIKU NYINGI SANA,NAMSHANGAA HUYO CHUCHU ANAVYOVABA!

    ReplyDelete
  7. Anamgaiya virusi ya dotnata

    ReplyDelete
    Replies
    1. na virusi vya mainda alvyovitoa kwa max

      Delete
  8. Replies
    1. Bora uwaambie utafikiri wao wasafi wakati kutwa zipu wazi

      Delete

Top Post Ad