RAIS WA UGANDA MUSEVENI AMBWATUKIA OBAMA KUHUSU KURUHUSU USHOGA UGANDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Raisi Yoweri Museveni.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametoa matamshi makali dhidi ya Rais Barack Obama wa Marekani akimtaka akome kungilia masuala ya ndani ya Uganda.

Matamshi hayo makali yamekuja baada ya Rais wa Marekani kutishia kuwa uhusiano wa nchi yake na Uganda utaharibika iwapo Rais Museveni atasaini na kuufanya kuwa sheria muswada wa kupinga vitendo vichafu vya kujamiiana watu wa jinsia moja.

Agusia Kushirikiana na Russia.
Rais Museveni amesema, atashirikiana na Russia iwapo Marekani itaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Uganda na kuongeza kama ninavyomnukuu:

“Russia imekuwa ikifanya shughuli zake barani Afrika tangu mwaka 1917 yaani kwa zaidi ya miaka 100. Ninataka kushirikiana na Russia kwa sababu hawachanganyi siasa zao na siasa za nchi nyingine.” Mwisho wa kunukuu

Ameongeza kuwa: “Ukiona mtu anaingia ndani ya nyumba ya mtu mwingine basi jua kuna tatizo. Hapa ni nyumbani petu. Huwezi kumuona mtu mwenye upaa kama mimi hivi ndani ya nyumba yake na kuanza kumpangia afanye unavyotaka wewe. Rudi kwenu!” Alisema Rais Museveni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukisikia ukoloni mambo leo ndo huu sasa..
    Huyu obama itakuwa ana element za ushoga!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. shoga tu mseven umenifurahisha

      Delete
    2. Marais wote wazungu hawa kuleta habari za mashoga.Mzungu NUSU yeye ndio king wa mashoga

      Delete
  2. Your the legend bro si kama handsome wetu

    ReplyDelete
  3. kumbe museven na wew jembe? xafi xana.mugabe,museven, daah nzuri iyo! RIP Gadafi.

    ReplyDelete
  4. anaongea tu huyu atalegeza tu mbwembwe ngoja aseme yule mke wao malkia utaona kimyaaaa jembe mugabe tuuu hawa wengine vibaraka tu

    ReplyDelete
  5. MIMI NAANZA KUPATA WASIWASI NA MARAISI WENYE ASILI ZA KIAFRIKA HUKO UGHAIBUNI. HIVI HUYU OBAMA MBONA AMETOKA AU NA YEYE NI SHOGA?

    ReplyDelete
  6. Huyu Obama, anajishauwa mtu mwenyewe ni mkenya, akajisahau saana Mbwa huyo, yani makaka zetu wawe mashoga?

    ReplyDelete
  7. MARAIS WALIOCHAGULIWA NA MUNGU WANAJULIKANA TU. UBARIKIWE MSEVEN.

    ReplyDelete

Top Post Ad