RAY AFUNGUKA"MASHABIKI WANGU MNANICHANGANYA HIVI MNATAKA NIWE MNENE AMA MWEMBAMBA?"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ray C aomba Ushauri ....Embu Soma Message yake hapa chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unene wakazi gani huoni utashindwa kukata kiuno bila mfupa unakua jinene kama ,miss tukunyema bomu likilia gongo latombo wewe kibaha ushakufa zamani. pungua mama

    ReplyDelete
  2. Fanya kitu roho inapenda. Washbiki ndio ni vyema kuwajali ila maamuzi ya mwili wako yafanye wewe mwenyewe

    ReplyDelete
  3. pungua kidogo mamy wasikuchoshe ukakonda sana kama fidofido na kukomaa mwili kama vanesa mdee...
    kama ndo unataka kupungua ka pic yako hapo juu me ckushaul

    ReplyDelete
  4. hebu jiamini kwa umbo lako dada kwa 7babu 2kisema uwe mnene uta2mia mchina sa2 bora ubaki hivyo ulivyo

    ReplyDelete
  5. unene na wembamba vyote vina faida kwako zaid na mpenz wako

    ReplyDelete
  6. Tupe mziki acha kuzuga, au unata kiki kiana?

    ReplyDelete
  7. madawa yalikukongoa kweli!

    ReplyDelete
  8. Inategemea vidonge vya ARV vinakuchukuaje...

    ReplyDelete
  9. We ni li-shoga

    ReplyDelete
  10. Ulikonda kabla ujaanza dozi sasa unapiga dozi kwa nini usinenepe wachache sana wanaokula dozi wasionenepa wengi wanafutuka kama wewe

    ReplyDelete
  11. jamani nyie mmepima mnaropoka sana kaomba ushauri maneno yote ya nini mboro nyie

    ReplyDelete
  12. Ray C Huwez Kumfurahisha Kila Mtu Hapa Duniani...

    We Tuletee Mziki Wa Maana Tuburudike Na Kuelimika.

    Mambo Ya Unene Na Wembamba Msikilize Mpenz Wako Anaekushika Kiuno

    ReplyDelete
    Replies
    1. u are a gentleman wewe ndo mume

      Delete
  13. toa video ya wimbo mmoja ukiwa ivyo then tutakupa jibu!

    ReplyDelete
  14. alafu nyie wote mnao sema anatumia vidonge kuna aliyemshuhudia au mnabwatuka tu.....?

    ReplyDelete
  15. Baki ulivyo we piga kazi bac, achana na walimwengu kwn cku zote hawana wema wala jema

    ReplyDelete
  16. KAPIGE UNGA TEJA WEWE!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad