RAY AVUNJA UKIMYA"NIMEMISS KUWAKATIA VIUNO MASHABIKI WANGU STEJINI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameahidi kurudi kazini (kwenye muziki) muda si mrefu sababu hata yeye ameimiss mic na jukwaa, “Naimiss steji vibaya mno!!!!” ameandika Ray C katika Instagram yake.

“Likizo ya mwaka mzima alhamdullilah!!!!Mungu ni mwema sana!!!!!!!Asante kwa afya baba yangu!!!!!muda si mrefu ntarudi Kazini na uhakika mashabiki wangu wapenzi mmenimiss sana!Kila kitu tayari kimeshapikwa bado tu kuwaambia lini tu but niombeeni heri wapenzi wangu najua sana mmeimiss sauti ya Ray C All over the world!!!!jinsi ninavyowapenda na jinsi mlivyoniombea zawadi Kama kumi hivi nimewaandalia!!!mtashauaje sasa!!kama nawaona vile!!!!!!Bila nyie hakuna Ray C!!!!!!!Thank you so very much guys!!!!!!My fans!My everything!!Nawapenda mno!!!!”.

Mwishoni mwa mwaka jana Ray C alisema ameanza kuingia studio na tayari amemaliza kurecord album yake mpya, hivyo naamini comeback yake itakata kiu ya mashabiki wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oya kilasiku narudi stejini tunata vitendo si maneno, achia ngoma 1 tusikie ujio wako hatutaki maneno mengi kama vipi piga kimya.

    ReplyDelete
  2. utapanda stejini kwa ngoma gani? kama za zamani tumezichoka toa ngoma mpya.

    ReplyDelete
  3. pumzika tu mama waachie vijana.

    ReplyDelete
  4. 2nazisubiri kwa hamu hizo nyimbo na zawadi kemkem zinakufuata nyuma fanya haraka ss icwe story 2

    ReplyDelete
  5. huyu bado madawa hayajaisha, hizi kauli anaongea toka mwaka juzi

    ReplyDelete
  6. Kama ni kauli anaongea tokea mwaka juzi kumbe akatombwe tu

    ReplyDelete
  7. acha mambo ya kutombwa wewe madawa bado yamo yanakuzingua kuma kama kuma zingine weee! hahahahaha?

    ReplyDelete
  8. Mungu warehemu wanaomtukana ray C

    ReplyDelete
  9. Sijui mnapata faida gan mnapotukana ndio maana watz atuendelei kwa mawazo finyu na hayo matusi yasiyo na maana

    ReplyDelete
  10. kama unaogopa matus umefata nini humu mkundu wewe, nenda kafirwe

    ReplyDelete

Top Post Ad