ROSE NDAUKA: NUSURA WATOTO WANIVUE NGUO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI mahiri Bongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa amenusurika kuvuliwa nguo na watoto ambao walipandwa na midadi baada ya kumuona ‘live’.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika sherehe ya arobaini ya mwanaye iliyofanyika nyumbani kwao, Tandale-Tanesco, jijini Dar ambapo watoto hao walimvizia Rose alipotoka nje, walimvaa na kuanza kumng’ang’ania nguo.

“Hawakutegemea kuniona pale, wengi wamezoea kuniona kwenye TV. Daah nilipata wakati mgumu kidogo maana ilibaki kidogo wanivue nguo, lakini nashukuru Mungu niliwatuliza, wakanielewa nikarudi zangu ndani,” alisema Rose
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh pole na hongera kwa kujikomboa washauri na wenzio wanazeeka wanajifanya waschana wakt wanachoka.

    ReplyDelete
  2. Dah huyu dem nampenda kweli jamani kila nikimuona nahisi faraja ndani ya moyo

    ReplyDelete
  3. Sababu ya kukuvua nguo ni nini zaidi. Tuambie maana atujui sbbu ni nini. Au wadau mmemuelewa uyu dada

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si walikua wakimng'ang'ania we bwege nn.

      Delete
    2. Ebu rudi ukasome kiswahili course.usichoelewa hapo nini wakati kashakwambia walikuwa wanamng'ang'ania nguo.ovyoooo

      Delete
  4. Sababu ya kumvua nguo kwa kuwa anacheza scene zake akiwa nusu uchi ss watoto cku hiyo waliomuona amejistiri kwa hiyo wakawa wanataka wamuone kama wamuonavyo kwenye tv

    ReplyDelete
  5. 2namjua huyo anapenda vitoto ili awaambukize nani hamjui zake huyo kahaba

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha unafki na kumchafua m2... cjui una2mia makalio kufikiria

      Delete
  6. Mchawi anamjua mchawi mwenzie.kama yeye kahaba basi wewe kahaba mwenzake.povu linakutoka.au alikuchukulia bwana?

    ReplyDelete
  7. Hapo sisemi kitu maana majibu yametolewa na wadau.

    ReplyDelete
  8. Ujinga mtupu mxonyoo

    ReplyDelete
  9. wote mlopita mbwa nyie mnafikiria kwa makalio

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbwa baba ako aliekuzaa wewe mbwa mtoto.

      Delete
  10. Mbwa mwenyewe wewe unafakilia kwa mkundu nyau kabisa wewe lione kwanza

    ReplyDelete

Top Post Ad