SIKU TATU ZA CHADEMA WALIZOMPA RAIS KIKWETE ZIMEISHIA WAPI ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unamchimba biti amir jesh mkuu ?ar u mad?

    ReplyDelete
  2. MJOMBA ALITAKA TUNG'OANE MENO BILAGANZI! WATZ TUNAAKILI HASHAWISHIKI M2

    ReplyDelete
  3. Wamechemka wenyewe ulikuwa moto wa kifuu chezea jk wewe.wamesalimu amri

    ReplyDelete
  4. watamfanya nn jamani hivi unaweza kumpa siku tatu baba yako mzazi shwain kweli chadema

    ReplyDelete
  5. baba km hawi na kauli nzur lazima umwambie ajirekebishe. siyo kwamba bab hawez kukosea.

    ReplyDelete
  6. chadema nauona mwisho wao kwa mbaaaaaali

    ReplyDelete
  7. wado wanafikiria cha kufanya

    ReplyDelete
  8. Ulikuwa ni 'MKWALA MBUZI' ili nawao wasikike!
    Nendeni mahakamani nyambaf zenu.........

    ReplyDelete
  9. tanzanzania hamna vyama vingi'wameona uchaguzi unakalibia wana weka mipasuko ili ccm izidi kutubuluza'

    ReplyDelete
  10. upinzani wote wameolewa na ccm, njaa mbaya ackwambie mtu

    ReplyDelete
  11. Umesahau waligomea..magari ya kifahari bungeni..mbona..leo ndio wanapanda..na.kuingia bungenn..

    ReplyDelete

Top Post Ad