SIKU YA VALENTINES DAY MAMBO YALIKUWA HIVI KWENYE BWAWA MOJA LA KUOGELEA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari ndio hiyo..Siku ya Valentines Day Kila mtu na Wake .......Mweeee hapo mpaka magonjwa unaweza pata .....Mhhh
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si ndo wazinzi wanaipenda siku hiyo

    ReplyDelete
  2. Duh with wanapenda mazambi. hivi kwanini kusiwepo name Tanzania day mkakusanyika kama ivi na mkaamua kufanya shughuri mbalimbl za kuliletea taiga let faida kuliko hii Valentin day a pi %100 wrote wameambukizwa HIV TB UTI Kichocho Taifod. Namagonjwa yote serikari lazima iudumie kama vile madawa madoktar no less nyingi inapotea. Tuipige marufuku Day nchini mwetu na cku hiyo tuite TZday name iyo cku kwa kila Kara wafanye shughuri za kujenga Taifa letu. Tushauliane kuhusu chili wadau name we ye uchungu name nchi hiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Samahani mdau sijaelewa nini umeandika sijui lugha gani lakini mhhhhh au ndio shule za kata aka kizazi cha dotcom kikwete

      Delete
    2. Hiyo simu ulotumia HUAWEI bila Shaka alafu we ni mgen ktk kuitumia. Acha ushamba ndugu khaaaaaaaa! Wee nawe

      Delete
  3. Mtakufa name maradhi ndugu zangu

    ReplyDelete
  4. Hiyo hata sio Tanzania ni nigeria...umetoa picha kwenye blog ya linda ikeji

    ReplyDelete
  5. waweza pata hata kichocho hapo full, kunyea hata humo humo

    ReplyDelete
  6. Mdau 2.01hicho ni kiswahili au mbona sijakuelewa?

    ReplyDelete
  7. uyo mdau 2.01 kiswahil tatizo, acha kuchangia km vp maana hujaeleweka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio kwamba hajui kiswahili
      Hajui kutumia hyo sim ambayo kaazima

      Delete
  8. huyo atakua hajui kuandika au ndo anaanza kujifunza kutumia touch screen.....full kuchapia hahaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haswaaaa tena touch ya kuazima

      Delete
  9. KWA RAHA ZAO JAMANI.

    ReplyDelete
  10. Huyo mdau kiswahili kakitafsili kupia google, ndio maana michemsho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mwenyewe umechapia mbayaaaaaa!!

      Delete
  11. achni kmdis mwnzen km vp kashtakin BAKITA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio tutaenda stupid we we. IDIOT

      Delete
  12. Hahahaha kweli siku ya uzinzi duniani .

    ReplyDelete
  13. hivi hata hawaelewi kiafya hapo inakuje, maana watu wanakunya humo, kukojoa plus shahawa

    ReplyDelete
  14. YA KWELI HAYO????????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad