SINTAH "NASHUKURU LE MUTUZ UMENISIKILIZA..ACHANA NA VINUKA MKOJO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Nashukuru umenisikiliza my ndugu Le Big show Le Mutuz nilikwambia na kila siku nikiongea na wewe nakwambia, achana na vinuka mkojo wa mitaani , unakaa na watu wasiongea mambo ya maana  kuanzia asubuhi wakiongea la maana ni ku snitch mtu, wewe ongea na matajiri wakuambukize harufu nzuri ya ankara sasa nakuona jinsi unavyo shine, mie tangu nijue hiyo kanuni sipati shida na mtu nni mwendo wa salamu, unacheka nao wabaya ni haohao, usnitch umetawala kila sehemu kazini, majumbani, kwenye familia seriously u dont know who to trust , ila umeniuzi mbona hukunichukua kwa Ken na mie nikatoe maada zangu si unajua beauty plus brain, usingekuwa disappointed, next trip usiniache....

Big up na endelea kunisikiliza utapata mengi ......"SINTAH
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Juma nechaa yuko wapi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Out of topic

      Delete
    2. Wewe my cousin anakaa apartment moja na mange .Kwanza mange Maisha yake ya maigizo juulize ushawahi ona picha ya nyumbani kwa mange au ni kona kona fu.Ushawahi ona Gari la mange au ndio la Mumewe wanashare USA .Usa kila mtu mstari mmoja credit card credit yako and hard working kwelikweli hakuna kulala USA utafanikiwa.Mange aliwadanganya anakaa Miami while akikuwa anakaa Oakland fortlauderdale ila kazini kwa Mumewe Miami .Sasa Hivi danganya tena Mumewe Ana deal na bustani na office zao zipo Beverly hill kwa Sababu Wana share Gari Akienda chukua mume basi anaenda kula piga picha wewe anakaa 40 minutes away of Beverly hills .Anakaa 2bedroom my cousin pia very tiny .Mange Is a pathological lier and she believe in her lies that is mental illness .She is Narcisstic.USA 2 cars mke na mume pole zake na apartment anayokaa God help with a new baby .Where is Zenat she left

      Delete
  2. kumamake unajifanya we ndo mama ushauri kuma 2 we acha usenge

    ReplyDelete
  3. Msenge tu hana lolote apele mashauzi yake kwenye kiblogi chake huko mxiwwwwwwwwwwww

    ReplyDelete
    Replies
    1. angejishauri yeye tu aache kutiwa na kuachwa hovyo na mtoto aliyemtelekeza kule uganda then ndo amshauri lemtuzee,

      Delete
  4. Hahahahaha shostito kila siku anakimbiwa na marafiki zake yupo lonely, anajishaua ooh shamim my dada, kiko wapi kwenye birthday hukualikwa wala kwente harusi yake chezea wadafa wa mjini weww

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi mtakwenda motoni kwa ajili ya kumchukia Binadamu

      Delete
  5. Kidoti nae kamkimbia kamuona mshamba

    ReplyDelete
  6. Yeye kutwa kushindana na mange mwenzie yupo majuu uko wewe unasaga rami mwenyewe mwenyewe tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe my cousin anakaa apartment moja na mange .Kwanza mange Maisha yake ya maigizo juulize ushawahi ona picha ya nyumbani kwa mange au ni kona kona fu.Ushawahi ona Gari la mange au ndio la Mumewe wanashare USA .Usa kila mtu mstari mmoja credit card credit yako and hard working kwelikweli hakuna kulala USA utafanikiwa.Mange aliwadanganya anakaa Miami while akikuwa anakaa Oakland fortlauderdale ila kazini kwa Mumewe Miami .Sasa Hivi danganya tena Mumewe Ana deal na bustani na office zao zipo Beverly hill kwa Sababu Wana share Gari Akienda chukua mume basi anaenda kula piga picha wewe anakaa 40 minutes away of Beverly hills .Anakaa 2bedroom my cousin pia very tiny .Mange Is a pathological lier and she believe in her lies that is mental illness .She is Narcisstic.USA 2 cars mke na mume pole zake na apartment anayokaa God help with a new baby .Where is Zenat she left

      Delete
    2. Nae apunguze mashauzi yake kha!

      Delete
    3. Linda Bedui kacharuka

      Delete
    4. Mi siku hizi msg za Bedui nazielewa.

      Delete
  7. Duh! Wadada wa mjin kwa nn hampendani lakini, acheni chuki endeleen kumuomba mungu iko cku na nyi mtatimiza ndoto zenu. Mungu hapend kumuombea mwenzako mabaya yanakuridia tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. we!!!lete umbea wa mange.Alisema wanamalizia nyumba watahamia nyumbani kwao?true

      Delete
    2. umbea tu@umedelete comment

      Delete
    3. Mange nae haoni anajitia aibu kujisifia vitu ambavyo hana? Ishi maisha yako na siyo ya kuigiza bibi we

      Delete
    4. Kweli ni pathological lier alivyokuwa Dubai Alisema Kwenye blog I can't wait to be in my house USA or I don't know who will decorate my house .Haya alivyokuwa bongo nikifika tu USA I buy my house ,Haya hapa texas Tupo for 2 days I can't wait to go to Miami ( Yaani mange Kumbe hajawahi kaa Miami amekaaa Oakland one hour from Miami ) Mumewe again office zilikuwa Miami.Haya Mimba alivyopata akatangaza ame poteza hiyo Mimba wacha watu wamsikutikie akaandika " Yaani ingenirudisha kimaendeleo " Baada ya mwezi tu oh I' m pregnant .Huyu dada Jamani ni mgonjwa wa waongo what does she get kwa uongo Jamani .Oh mume wangu alini promise atanipeleka cancun Kumbe huko cancun ni harusi ya mdogo wake mumewe.Kila anapohamia anatangaza nyumba akifika huko hakuna nyumba .Mange utaishi Maisha ya raha Sana ukiacha uongo .Your a pathological lier which is bad kwa kweli and you believe in your lies what a shame .mume wako wewe sio architecture engineering or construction .Wewe wako ni Landscape architecture a degree moja tu hana masters mshahara wake 3800 kwa mwezi ndio maana maneno yako na matendo hayafanani .Huna hata nursery ya mtoto mmebanana .You will be so happy ukiushi Maisha ya Mumeo .USA is not a laughing matter utaumbuka .

      Delete
  8. Hamna anaemuombea mabaya huyu mwanamke kazidi kafungua blog yake kaanza pupa sasa yamemkuta ndo ajute

    ReplyDelete
  9. Du hapa ni kuchambana tuu mtu utajiju na mashauzi yako

    ReplyDelete
  10. Analazi ya juma necha jinsi alivyomfanyia sasa yanamrudia hana sifa teeena kazi yake kujikweza hasivyokus navyo he he heee nicheke ninenepe nikonde ninashida gani

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio juma nature mtoto wa dandu mpaka kafa unafikiri huko alipo atamsamehe ahatiwa na kuachwa mpaka kufa kwake kipindi kile aliona raha kuwachanganya wenzie mpaka kuuana

      Delete
    2. Hivi Jamani Naomba kuuliza the day dandu anatangazwa mahuti Sintah akakurupuka kwenda kuchukua kitu nymbani kwa dandu maana alikuwa na access ya kuingia na kutoka nyumbani kwa dandu,dandu Si mume Wa mtu ?(r.I.p)

      Delete
  11. Kujipendekeza kwa watoto wa vigogo serikalini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao malecela wanavyogombaniwa.Mange kimambi ndio kumsahau mama yake na kumuita Dr Mwele mama ake mzazi .

      Delete
  12. wewe ni halali ya wavuvi wa mwanza usituambie kitu ,umerukaruka we sasa ndiyo unajikosha huna jipya wewe

    ReplyDelete
  13. Hana lolote mnafiki tu huyo ndo mana mashost zake wote wanamkimbia ana majanga

    ReplyDelete
  14. Yeye mwenyewe kinuka mkojo;

    ReplyDelete
  15. Simtah mbona utangazi ndoa bidada,we Si mrembo?Ooops nilisahau kuna msemo unasema lilia bahati Si urembo,kuna. Dada mtaani kwangu ni mremboooo mpaka anakera,ila wanaume wanapita na kuacha,sijui anamatatizo gani yarabi toba.

    ReplyDelete
  16. Duuh mabig masmall yana majuto

    ReplyDelete
  17. Kuwaita binadamu wenzio vinuka mkojo kwa kipi ulichokua nacho hapa duniani. Kwa taarifa yako wewe ndio kinuka mkundu, chupi chafuu

    ReplyDelete

Top Post Ad