SNURA AMBWATUKIA SHILOLE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Brighton Masalu
MAMA wa majanga, Snura Antony Mushi kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani na kuzungumzia kauli ya  msanii mwenzake wa muziki wa mduara, Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole’ juu yake kuwa ameisha kimuziki ndiyo maana ameamua kukimbilia muziki wa Taarab.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Snura ambaye anawika mitaani kwa ngoma kali kama Majanga na Nimevurugwa, alisema kitendo cha Shilole ‘kuponyokwa’ na maneno hayo ni ishara tosha kuwa anamkubali na kufuatilia kazi zake kwa ukaribu mkubwa.

“Sina tatizo na maneno ya Shilole, hiyo ni ishara kuwa anafuatilia na kuzikubali sana kazi zangu, wala hawezi kunizuia kufanya kazi zangu kwa namna ambavyo nafikiria, yeye afanye yake, nami nishike ‘hamsini zangu’, alisema Snura.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa madada cwapend yamejichubua ulimbukeni mwingi, uchezaji mchafu. elimu yenyewe dalasa la saba shida tupu

    ReplyDelete
  2. Mikundu iyo inajiuza mjini tu hapa

    ReplyDelete
  3. Mademu malaya kinoma hawa tutoleen ushuzi

    ReplyDelete

Top Post Ad