SUGU AWAPA MAKAVU LIVE BILA CHENGA KINANA NA NAPE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma hakuna kulala!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safiri hii atutaki wabana pua tunataka wapiganaji wanaopigania nchi yetu.tukikuliza wanbeya mbeya umrifanyia nini uttasemaje?zaidi ya kutufundisha kuandamana. Tunakupiga chini kama mlivyompiga zito na urudi kulinda Bp leo inaitwa Puma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni usenge kutoa maoni ya hovyo kama haya,kama huna la kusema kaa kimya lofa wewe!

      Delete
  2. Hana lolote sasa hapa ndio anatupa ujumbe kuwa kajenga gorofa wezi tu hao hawana issue

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole sana kwa ulewa wako mdogo,sugu katoa mfano tu,wewe unadai kakuibia ajenge gorofa.Wewe ni mteja mzuri wa ccm kwani ccm mtaji wao mkubwa ni mburula kama wewe!.

      Delete
    2. shule ndo tatizo lake huyo jamaa

      Delete
  3. Jaman nmechoka na hzo siasa zenu, nikiambiwa leo npge kura kuchagua sugu au jiwe ntachagua jwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sugu ni kiboko ya mafisadi kama wewe.

      Delete
  4. Uyu jamaa kaanza uwizi toka zamani alivyokua mlinzi kampuni ya mafuta bp kurasini sasa leo anajitangaza ana gorofa mbeya ata 5years bado du babu unatisha. Je umkipewa ikulu itakuaje

    ReplyDelete
  5. Lakini c mchezo wa c kitu kidogo ulinzi adi ubunge. Lazma uwe mwizi kaka we jenga magorofa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acheni fikra za kijinga nyinyi mambulula, baada y ulinzi sugu alikuwa msanii mkubwa Tanzania na amezunguka sehemu kubwa nje ya nchi na ameishi sana huko akitafuta hela.... Msaidieni Kinana kujibu hoja, kumsaidia mkulima sio kupiga nae picha na kutoa kwenye gazeti, bali ni kumpa mbolea na pembejeo.

      hii quote imeenda ni ya hekima ila kwa kuwa ninyi ni wapumbavu, hamjui

      Delete
    2. Sugu kwa mziki gani ulomfanya apate pesa hizo kwanza anaimba yule au anapiga kelele tu..

      Delete
  6. Kazi kwelikweli Umejijengea gorofa la kwako na familia yako sisi wananchi wa mbeya umetufanyia nini? Wanasiasa. Wote wezi tu hakuna hatammjoja atakae kidhi haja zetu sisi wananchi mkishaingia madarakani mnajijali ninyi sio sisi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ccm imefanikiwa sana kwa kutengeneza mbumbumbu kama wewe,pole sana

      Delete
  7. NYIE MNATAKIWA MUWENA UWEZO WAKUFIKILI, NAKUTAMBUA! NAPE ANAPOSEMA KUWA SUGU NIMPANGAJI HAPOMBEA, INAMANA JIMBOHILO NILACCM WAKATI WOWOTE WANALILUDISHA CCM! SUGU NAYE ANAJIBU KUWAKAJENGA GOLOFA YANI HAWAWEZI KUMTOA , ATAENDELEA KUWA MBUNGE WAMBEA! MBONA WOTE MNACHANGIA HAMNAUWEZO WA KUFIKILI POLENI SANA!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ni great thinker, waliotangulia pumbavu kabisa wanatumia matako kufikiria

      Delete
    2. Umefafanua vizuri kuwasaidia hawa wapumbavu wa ccm wanaofikiria kama mwigulu nchemba.

      Delete
  8. NYIE MNATAKIWA MUWENA UWEZO WAKUFIKILI, NAKUTAMBUA! NAPE ANAPOSEMA KUWA SUGU NIMPANGAJI HAPOMBEA, INAMANA JIMBOHILO NILACCM WAKATI WOWOTE WANALILUDISHA CCM! SUGU NAYE ANAJIBU KUWAKAJENGA GOLOFA YANI HAWAWEZI KUMTOA , ATAENDELEA KUWA MBUNGE WAMBEA! MBONA WOTE MNACHANGIA HAMNAUWEZO WA KUFIKILI POLENI SANA!

    ReplyDelete
  9. NYIE MNATAKIWA MUWENA UWEZO WAKUFIKILI, NAKUTAMBUA! NAPE ANAPOSEMA KUWA SUGU NIMPANGAJI HAPOMBEA, INAMANA JIMBOHILO NILACCM WAKATI WOWOTE WANALILUDISHA CCM! SUGU NAYE ANAJIBU KUWAKAJENGA GOLOFA YANI HAWAWEZI KUMTOA , ATAENDELEA KUWA MBUNGE WAMBEA! MBONA WOTE MNACHANGIA HAMNAUWEZO WA KUFIKILI? POLENI SANA!

    ReplyDelete
  10. Wewe aujua uyu jamaa katokea wapi ndo maana unatukana. Sema ni hoja gani mdingi kaongea bungeni zaidi yakupigana toka alipopata ubunge? Ata kisima cha maji atujaona kukata utepe mbeya zaidi ya vurugu. Ameshindwa ata kufungua shule ya chekechea mbeya zaidi kujenga gorofa. Yeye ndo upeo wake ni mdogo ndo maana amejibu kienyeji ati nimejnga gorofa nikweri gorofa amejenga wala si utani. Amejibu tofauti na jamaa alivyo sema. Nakubari kua uyu jamaaa uwezo wake ni mdogo kwani ata kutetea wasanii wenzie amna. Niambie nilini uyu jamaa ametoa oja ya msingi bungeni zaidi ya kupigana bungeni? Nikweli uwa naonaga ata uraya uraya mabunge yakifanya vurugu lakini tofauti na awa ajamaa. Ndo maana Mahlim sf zito wanasema kuna bahazi ya wanasiasa wanapenda kujipatia sifa kupitia vyanzo vidivyo na msingi.

    ReplyDelete
  11. mambulula ni ccm tu.. hii hoja ya kupanga na kujenga gorofa ni lugha ya picha tu, utaona chadema wamekua wepes kuielewa huku ccm wakiendelea kuumizana kwa umbulula wao.. Kupanga sio nyumba na kujenga gorofa sio jengo wewe, wanamaanisha ubnge wa mda mfupi tu huku ajimjibu sio wa mda tu, anajiamini na ameweka nia ya mda mrefu. CCM bwan...! niambie mbunge wako wa ccm kafanya nini jimbon kwake au kasema nini bungeni chakujenga zaidi ya kulala miaka yote tangu uhuru..

    ReplyDelete
  12. Nikweli jamaa alikua mlinzi wa bp na alikimbia bp sbbu ya wizi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwizi hua anafungwa jela kuma wewe, angekuwa mtaani saa hizi kama ni mwizi, ccm sio wezi sasa, kuna kiongozi gani ccm hajaiba. Eti alikuwa watchman so what!? Wewe unachagua kazi ndo mnakuja firwa nyinyi kwa kujilegeza. Mwanaume hachagui kazi. Unashangaa Sufu kuwa mbunge kutoka Mlinzi basi Karume alikuwa baharia tu bila elimu yeyote na akawa Raisi. Na Maji Marefu humjui? c mganga wa kienyeji, ccm wamemchagua mbunge sasa. Unashangaa matako ya mwenzio huku wewe mkundu uko wazi .

      Delete
    2. Kaka umechapia sio Sufu ni Sugu

      Delete
  13. Fanyeni mambo yenu vjana siasa sio ukombozi wetu mkitegemea kupata maendeleo kutoka kwa wanasiasa tutasubir sana kwa wenzenu siasa ni kama kazi anategemea kupata kipato kwa manufaa Yao not yako kwa nchi yetu ni kukazana binafsi kwa maendeleo yako binafsi tupa kule siasa Wote wezi tu kikubwa amani itawale

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo point pigia mstari..!!!

      Delete
  14. Kweli nimekubali tanzania misenge kibao watu wanauelewa mdogo sana badala ya kusoma ujumbe uuelewe yenyewe yanakurupuka tu ndio maana ccm inawabuza unakuta mtu na akili zake badala ya kuandika ulaya lenyewe linaandika uraya huyo msomi hata shulen yalikuwa hivyo hivyo ukiandika rudia kusoma ulichoandika pumbav kabisa

    ReplyDelete
  15. Nyie wote mlio tumia lugha ya matusi ktk maoni yenu upeo wenu wa kufikiri ni mdogo kumuelimisha mtu sio lazima umtukane,kama umegundua watanzania wenzako hawana akili wewe ndio una akili nyingi wa elimishe sio kuwatukana,sijui uko ndani au nje ya Tanzania lakini kumbika ukisema wa Tanzania wote wasenge hata mama na baba yako nao wasenge kwa maana hiyo na wewe pia msenge!!! Vidole havilingani ndio maana kuna virrfu na vifupi kama wewe ulie n upeo wa kuita watanzania wote wasenge ukiji jumlisha na wewe ,toa point za kuelimisha jamii sio matusi hayawasaidii mbona kila mtu anajua kutukana.

    ReplyDelete

Top Post Ad