TAHADHARI:SIKU HIZI KUNA BIASHARA ZA MAFUMANIZI...WANAUME KUWENI MAKINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nawatahadharisha,

kuna rafiki yangu baada ya kupigika na maisha toka mwaka juzi akapata wazo la kuanzisha biashara ya mafumanizi.

Ameajiri wadada 5 kinachofanyika anawatumia hao wadada kuandaa mafumanizi. Mkikubaliana na wadada yeye anakuja na watu wacamera na mabaunsa 2 kufumania pia watakutaka utoe pesa.

Ukitoa pesa anazotumia kulipa mishahara kwa kila mwezi kama faida yake hakosi million 5.

Huu ni mwaka wa pili sasa hivi amejenga na ana gari 2 za kutembelea pia ameoa.

Elimu yake ni kidato cha nne tu na wana ofisi kabisa. Makazi yao ni Dar lakin uwa wanasafiri adi mikoani.

Uwa wanatoza pesa kulingana na mtu alivyo. Wanatoza kuanzia laki 5 adi million 10.

Mbaya zaidi wanakupiga na picha hivo lazima utatoa pesa.

Mnaopenda wanawake wa barabaran kazi kwenu.

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dawa ya malaya imepatikana. Hahahahaha

    ReplyDelete
  2. hahahahaha kamata fursa twenzetu!!!

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Watu wengine wafungue zaidi.lol

    ReplyDelete
  4. hii movie bana mi nisha iona .

    ReplyDelete
  5. hii Business nzuri ngoja nijipange.

    ReplyDelete
  6. Si kuanda madada tu,waandaye na vijana kwa wanawake. Mbona hawajatoa number zawo ili tuwape kazi maana labda watakomesha wanaume au wanawake wenye tabia ya kutoka inje ya ndoa.nimewakubali

    ReplyDelete
  7. du! Hii nimeipenda hiv kuna watu wana akili bhana

    ReplyDelete
  8. wanalipia tiara A au la

    ReplyDelete
  9. wasenge hao sisi tuso kuwa na wake?

    ReplyDelete
  10. hyo nzr n bora ili tuendelee kuheshm ndoa za watu!

    ReplyDelete
  11. Mke wa mtu anabebwa kweny gar na mzigo unaenda kuliwa serena, New africa au kempisk. Nendeni na mabaunsa huko kumanina zenu. Mtashika hao wa kweny maua na magar mabovu na gest za kisenge

    ReplyDelete
  12. umalaya cku hz unashadadiwa sana kweli mwisho wa dunia unakaribia itakuwa kifo cha mende style .....

    ReplyDelete
  13. umalaya cku hz unashadadiwa sana kweli mwisho wa dunia unakaribia itakuwa kifo cha mende style .....

    ReplyDelete

Top Post Ad