TANZANIA TUNAHITAJI RAIS MWENYE U DIKTETA KAMA KAGAME AJE KUBADILISHA MINDSET TUPATE MAENDELEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.

Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.

Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???


Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl

WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE
Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. raisi yoyote wa Afrika ambaye mataifa makibwa yanampenda nikibaraka na anawasaidia mabepari kupora maliza za nchi anayoongoza...Raisi mzalendo kwa kwa taifa lake kama Kagame atasakamwa na mataifa ya ulaya na ikibidi kuhujumiwa kijeshi au kuuawa. Huku akiitwa dikteta au mhalifu wa kivita...

    ReplyDelete
  2. KAMA NI HIVYO BIG UP KAGAME, NAMPA PONGEZI, MAANAKE KARIBU NCHI ZOTE ZA AFRICA WATU WAKE WAKO HOI, KUTOKANA NA UONGOZI MMBOVU USIKUWA NA MAADILI, WAMEFERI KILA NYANJA, NA RAIA TUNAISHI KWA KUBATISHA TU, ELIMU, HUDUMA ZA AFYA MIUNDOMBINU KAMA HOSPITAL, MAJI SAFI, UMEME, BARA BARA KILA KITU KIBOVU KWA AJILI YA KUJARI MASRAHI YAO KWA KUIBIA NA KUHUJUMU TAIFA LAKE ANALOLIONGOZA, HASA HUKU KWETU AFRICA, VIONGOZI WOTE NI MICHOSHO, HOPELESS

    ReplyDelete
  3. ukweli ni kuwa ukiona rais wenu wazungu wanamsifu na kumwalika mara kwa mara.au wao kuja.ujue nchi inaibiwa.mzungu hata chembe hana msaada na mwafrika.akikupa mia moja bure alishakuibia milioni mia.inasikitisha sana kuona nchi yetu ukiacha mwinyi na mwalim tawala za sasa zimejaza wazungu na wachina eti watusaidie.mkapa hata tanesco aliwapa makburu waiongoze sie tumeshindwa!

    ReplyDelete
  4. Kagame is top gun, hajikombi ovyo ovyo.I salute the guy.weldone kagame

    ReplyDelete
  5. Don't think there much research on it otherwise future bomb where is Libya,Egypt,Tunisia much close Zimbabwe.my grandfather and true African fighter Mugabe...ha ha ha ha kagame traitor people don't know his back support

    ReplyDelete
  6. Kifupi Kagame yuko juu tuseme kweli. Na hawa viongozi wanaosifiwa na wazungu na kuwaalika kila siku wajue wazi kua "There is no free Lunch" Wazungu hususan wa Marekani walishaweka wazi msimamo wao kua
    "America has no permenent friend no permenent enemy but have a permanent Interest" Kazi ni kwako mjomba!!!

    ReplyDelete
  7. Mzungu mwema na apendae mweusi ni yule aliyekufa!
    It is simple like that!

    ReplyDelete
  8. yaan ulieandika habar hii km upo kwenye kichwa changu hii nchi tupate diktecra ndo tunaenda na co kubebana mtt wa mjomba baloz huku darasan alikuwa dv5 kagame rais mwema sn 7 bu wazungu hawampend hatak ubadhilifu co cc kila kitu YEC tunapewa kontena la neti tunatoala dhahabu tunatowa zawad ya farasi kwa prince charlse cc wanaleta mitumba ya chupi tena tunainunua khaaaa tanzania nchi nzur viongoz wake vibaraka na vimeoooo

    ReplyDelete
  9. lowasa dicteta anafaa

    ReplyDelete
  10. wazungu wapenda huye wakupiga magoti na kuitika ndiyo

    ReplyDelete
  11. Aisee huyu jamaa aliyeandika hii habari yuko juu sanaaa!!mimi kila siku nasema nora tupate rais dikiteta siyo wakucheka chekaa ovyoo...Mwaka jana nilienda Kigali Rwanda kikazii aiseeeee kama ulaya vile yaani nilishangaa sanaaa maanake sikutegemea kama patakuwa vile.Natamani Kagame ahe aiongoze nchi yetu hata kwa miaka miwili tu mtaona mabadiliko hataki mchezo.

    ReplyDelete
  12. rais kama kagame hatumtaki tz huwez msifu mdhalilishaji, mwizi na muuwaji kisa unapata utakacho.. anaingia congo kuwaibia wacongo mali zao huku akisababisha watu kufa, kukosa makazi na amani ya kuishi huru ktk nchi yao inatoweka afu wewe unamsapot mtu kama huyo?! kwa mazuri yapi anayo yafanya?! waumia wenye mali anufaike mwizi unaona iko sawa?! zile roho zinazopotea congo ni za watu na si wanyama huwez msapot kagame hata kidogo kwa mambo anayo fanya kwa binadamu mwezako hata kidogo na kama haitoshi anaanza na chokochoko na tanzania coz anajua na huku kuna mali aje kuchota kama anavofanya congo... nibora tuendelee kula ugal na matembele kwenye amani kuliko kula chips kuku kwenye vita... kwenye akili timamu na busara hawezi kukaa akamsifu kagame hata kidogo.... think bigger....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nina akili timamu. Bora kagame kuliko mkwere.mara1000000000.
      Hata hao ccm wameshatoa roho za watu nyingi tuuu..ie Mwangosi,kombe ,sokoine na wengine wengi

      Delete
  13. Si muende mkaishi rwanda hakuna aliyewalazimisha muishi tz na pua zenu za kuhutu mtauawa wote wenzenu wanatambuana kwa pua mnamfagilia nzi nyie. fuata nzi ukale nnya.

    ReplyDelete
  14. Watu wajinga sana Hivi unaanzaje kumsifia kagame? Watu wanaomsifia kagame humu wanamjua au ni Bendera fuata upepo? Hivi jambazi akija kwako akakuua akapora Mali zako akapeleka kwake utamsifia? Hicho ndo anachofanya kagame. Je bado unamuona wa maana? Acheni ujinga nyie wadau na fungukeni vichwa na mzunguke nchi nyingi muone na mjifunze sio kwa kagame. Dictator ambae hataki kushauriwa Wala kupingwa ndo unamuona wa maana? MTU anaua watu kila kukicha ndo unamsifia? Je akiwa rais wa nchi yako alafu akamuua baba yako bado utamsifia? Mimi Nimesoma na warwanda Nairobi wanakuambia Inabidi umpende kagame kwa lazima kinyume na Hapo ni kifo tu Sasa huo ni uongozi unaosifiwa? MTU ametawala miaka 20 Sasa na hataki kuondoka ndo mzuri Huyo? Bill Clinton ametawala marekani kwa mafanikio makubwa ila akaondoka madarakani sembuse kagame. Watu wanakufa Congo kila Siku kisa yeye alafu unamsifia au aje Tanzania tuone kama utamsifia. Nipe email zenu nikutumie documentary inayohusu tabia ya kagame umsome umjue vizuri ndo comment hapa

    ReplyDelete
  15. "lowassa ni dikteta anafaa"!!!! ni dikteta wa nini? kweli sisi wadanganyika hatuchoki kuibiwa!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad