UKWELI KUHUSU TELEX FREE KUTOKA WIKIPEDIA..BRAZIL KIMENUKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi sina mengi wala siandikii mate Mange Jana Kaandika about TelexFree Watu wamemjia juu kuwa ni uongo ..ila ki ukweli hiyo Kitu ina walakini ....Embu jisomee hapa kutoka Wikipedia..Jinsi ilivyozuiliwa huko Brazil...


"From Wikipedia, the free encyclopedia....
Telexfree is a trade name owned by Telexfree Inc, that became best known for its operations in Brazil held by Ympactus Comercial Ltda after it was involved in an ongoing investigation for allegedly operating a Ponzi scheme. The Brazilian court of Acre State suspended the company's operations in that country
Telexfree Inc. owns the rights to the TelexFREE brand worldwide. The company was created by Carlos Roberto Costa, Carlos Nataniel Wanzeler and James Matthew Merrill after the change of its former corporate name "Common Cents Communications Inc.", which was incorporated in Massachusetts, USA.According to the Company Registration Office of Massachusetts, Telexfree Inc. started to use this corporate name on February 15, 2012.
Telexfree Inc. is a sister company of many other companies that operates TelexFree Marketing Plan, which belongs to the same founders and also share the same website. It includes a Brazilian company named "Ympactus Comercial Ltda", which was suspended on June 13, 2013, by Brazilian authorities.
Telexfree Brazilian operations was regarded as one of the largest financial frauds in Brazil's history, according to Brazil's Ministry of Justice and the Federal Public Ministry.The number of investors—labelled as "promoters" by Telexfree—has not yet been determined; by the end of August 2013, just after companies' suspension, Carlos Roberto Costa (Company Director) said that the company had 1,049,619 active promoters in Brazil.The company is currently under investigation by Brazilian authorities, which led the Court to freeze the company's and its owners' assets in Brazil and maintain, despite numerous appeals, the suspension of its operations in Brazil. Telexfree Brazil (Ympactus Comercial Ltda) denies the accusations, saying that it operates under the Multi-level marketing structure, commercializing VoIP services. The final trial and judgement will likely be held in 2014, and the company assets will probably remain frozen before that, according to the Public Ministry of Acre State.
Telexfree and BBOM, both companies suspected of operating Ponzi Schemes and suspended by the Brazilian justice, were featured among the top 10 most searched terms on Google during the year of 2013 in Brazil. Telexfree was ranked 2nd place, just after "BBB"
Read More HERE
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mzee wa Udaku asante kwa kuendeleza libeneke la kuelimisha watanzania ukweli Telexfree ni utapeli wabongo muelewe muache ubishi ni Scam kubwa sana hii michezo huwa inazuka na kupotea kama mtakumbuka ilianza miaka ya 90 wakaita upatu walioingia kwanza wakalipwa pesa ili walete wenzao baada ya kukusanaya mapesa wakasepa zao kila mwaka chunguza hizo Scam zinakuja na majina tofauti nawaasa msidanganyike kwenda Serena hotel kusikiliza mikutano yao eti wanawapa lunch bure na kuwaonyesha video ya waliofanikiwa ni utapeli mtupu hakuna pesa ya kirahisi

    back to Mange alichojiwa juu ni kuachia comment za kutukanwa Joyce Kiria na Shamim ni hilo tu asijifanye mengine mwambie abadilike tabia ya kuachia wadada wanatukanywa na kuachwa uchi sio nzuri topic inazungumzia Telexfree yeye kaachia matusi kwa wenzake kwani wao ndio walioleta Telexfree nchini? hao wadada na wao wameingizwa mkenge kwa nini uache wananchi wenye hasira wawatukane kiasi kile? ile ilikua chuki binafsi mwache atukanwe huyo Mange wenu

    ReplyDelete
  2. Telexfree wamewaliza waBrazil vibaya sana msijiunge wabongo mtapoteza pesa zenu na nyie ambao tayari mmejiunga mjue ndio pesa imeshapotea poleni fanyeni kazi hakuna pesa ya rahisi ukishasikia pesa imekua too good to be true ujue kuna catch ndani yake mwee msiwe wapumbavu mkiona mzungu mnafikiri ni kweli ulizeni yule mzungu Luois anavyoliza watu hapa mjini shauri yenu

    ReplyDelete
  3. utapeli ulianza tangu adam na eva wamo duniani hata huyo Mange mbona alitapeliwa na Frank akabebeshwa mimba hakuambulia ndoa ya mkeka wala pete ya ugirlfriend akaishia kususa mtoto kiko wapi sasa ndio anajifanya na mapenzi na yule mtoto tukubali utapeli upo ni akili yako binafsi kuchuja ukiwa na akili mbovu kama ya Mange ndio utajikuta unatapeliwa mpaka na vibodaboda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari za mange na telexfree zinahusiana vipi.? we baba ako unamjua? na una uhakika mama ako hakutapeliwa alipokuzaa wewe au ndugu zako? Na hata kama katapeliwa...haruhusiwi kuwafundisha nyie mnaojifanya hamuelewi? Ukosefu wa elimu unasumbuaa..

      Delete
  4. We fala sana sasa mange na family yake wameingiaje..watu wengine kama mafala

    ReplyDelete
  5. Loooh watuhawana huruma

    ReplyDelete
  6. siwaelewi hao wanaosema tumeshawishiwa kuingia hivi hata aibu huna kusema hivyo? pochi ulifungua mwenyewe ukatoa pesa umetapeliwa unatafuta wa kumlaumu kwendraaa

    ReplyDelete
  7. mi shachukua changu mapemaaaaa,

    ReplyDelete
  8. bila mange kuwekwa hapo ukaona haifai mwenye blog kweli we fala ungeandika tu vizuri ungeeleweka pia ..... na we unayesema kaachia comment za shamimu na joyce ila walivyomtusi hao member kule instagram hujaona kweli we kichwa cha mwendawazimu . mange mange khaaaa na mumuwache

    ReplyDelete

Top Post Ad