WASANII HAWA WA BONGO MOVIES NA BONGO FLAVA WAMEAMUA KUJIUNGA CCM..WAPEWA KADI NA RAIS

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava leo hii Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM leo hii na JK kwenye Sikukuu za kutumiza miaka 37 ya CCM Mjini Mbeya.......Toa maoni yako
Udaku Special Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni Njaa Zao Tu Zimewapeleka Huko,si Lolote Si Chochote,na Wengine Ni Kwenda Kushikana Mikono Na Rais Kikwete Na Kupata Picha Na Kuuza Majina Magazeti,je Ni Sera Ipi Ya C.C.M Ambayo Imewavutia Ambayo Huko Nyuma Haikuwepo Ambayo Imewafanya Wajiunge C.C.M?Hawana Jibu,chadema Ndo Mpango Mzima,chama Bora,kisera,kidemokrasia Na Kiutendaji Kisichofuga Wahujumu Wala Wasaliti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wange jiunga na chadema ingekuwa poa wewe mkundu wacha chuki zako

      Delete
  2. watatombwa mpaka wajutie mikundu yao wapumbavu sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huwezi kuwatomba wewe kwasababu kapuku, ukitaka nawewe nenda.kumbuka kuazima nguo kwa jirani na kupiga mswaki ok!

      Delete
  3. kwani ww umejiunga na chama chako kwa kufuata sera ipi acha majungu ndugu we chadema nini

    ReplyDelete
  4. kweli nyie wasenge kwani mama zenu wamejiunga vyama gani mbona mnaongea shit kila m2 ana haki ya kuchagua chama anachopenda mbona afande sele na roma.mlipiga kimya

    ReplyDelete
  5. hao jamaa ni makuma tuh ndo walala hoi mwenyewe hao unamdic Jb kujiunga ccm hahahahah wafatilie watoto wa mboe wanasoma wapi sio wanakua makuma tuh chadema tushajua ni waongo waongo ngoja zito aje ccm ndo mtadata

    ReplyDelete
  6. Wanajaa au umarufu wanataka

    ReplyDelete
  7. Hivi matusi ya nini? Na sheria ya uchangiaji mada simnaiona hapo? Kuweni wastaarabu

    ReplyDelete
  8. Hao wanawadanganya! kumlidhisha kiongozi aliye waalika, kwani kunam2 mwenye akili timam, mwenye uwezo wakufikili anaweza kujiunga na ccm? kwasela ganimpya waliyonayo hao MAFISADI?

    ReplyDelete
  9. Hao wanawadanganya tuuuuu! kumlidhisha kiongozi aliye waalika, kwani kunam2 mwenye akili timam, mwenye uwezo wakufikili anaweza kujiunga na ccm? kwasela ganimpya waliyonayo hao MAFISADI?

    ReplyDelete
  10. Wamefanya uamuzi sahihi maana chadema tumewachoka na hizo kelele Zhao hawana lolote wataishia kuwatia waananchi name elcopita watupye kule!!!!

    ReplyDelete
  11. Mnaotukana tukana au kuwakashifu hawa wasanii mnaonyesha ujinga wenu na kukosa ustaarabu.Msanii ni mtu kama ilivyo wewe, baba yako, mama yako etc na wanahaki ya kutoa maamuzi juu ya maisha yao.
    kujiunga na chama ni hiyari, nani kakwambia kuwa wewe ni mjanja sana kuwa kwenye chama ulichopo au kutokuwa na chama ndio ushindi.Grow up.....

    ReplyDelete
  12. Watu huku mitaani tunawasikia wakisema kua kama unataka pesa au kufanya biashara bila usumbufu jiunge na ccm,so hiyo inamana kua ni kweli ccm ni chama cha mafisadi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna chama kisichokuwa cha mafisadi Tanzania, chunguza ....
      Vyama vya siasa ni mashamba ya njaa... hakuna chochote cha zaidi

      Delete
  13. Hongera zao maana wameonyesha uzalendo

    ReplyDelete
  14. huyo zitto akija ccm ndo atazaa namama yko

    ReplyDelete
  15. huyo zitto akija ccm ndo atazaa namama yko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani yule mtoto alie zaa na baba yako pale chadema kisha kuwa?

      Delete
  16. njaa haina adabu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na ukiiwekea aibu itakuuwa, waacheni wazile kwani wakila watoto wa nanihiii.. & watoto wafulani ndio halali?

      Delete
  17. Hakuna jpy ni upuzi m2pu

    ReplyDelete
  18. HAHAHA NJAA NOMA!! HADI MBOTO DUH!? KWELI NJAA NUKSIII! HAO WANAIGIZA TUU ILA MIOYONI MWAO CHADEMA HAO!!! IYO INAITWA "pesa kwanza, ccm badaae"

    ReplyDelete
  19. 2015 2tawapoteza vijana wengi watao kufa kwa kihoro sasa msanii kujiunga CCM inakuuma nn yeye ana maamuzi na ma[penzi yake kama wewe bibi yako mama yako au babako sasa ku2kana haikusaidii aya name niko CCM 2kana 2one ka ndo kura yangu itahamia CDM mATAKO YENU CDM MEMBERZ

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani we huna matako una mkundu tu ndio maana unafikwa

      Delete
  20. mwaka huu wafuasi wa chadema mtakufa kwa presha hahahahahahahhahahahaha

    ReplyDelete
  21. Nawapa hongera sana wamechagua chama sahihi cha siasa chadema no chama cha biashara watanzania msisikilize uongo Wa chadema no blaah blaah tu hawana jipya wale ccm ndio chama sahihi msidanganyike eti slaa anasema ndani ya mwaka mmoja chadema ikiwa ikulu nchi itakuwa ya viwanda jamani hamuoni huyu mtu no muongo kupitiliza kuongoza nchi sio lelemama kama kukodisha helcopta

    ReplyDelete
  22. Wanachama wa chadema wangekuwa wajanja wangehoji matumizi mabaya ya fedha za chama kukodisha helicopter ili kwenda kuhutubia mkutano wa masaa 2 wkt wangeweza kuwafikia wanachama wao kwa gharama nafuu ya magari yao.
    hawa wakipewa nchi wataweka makao makuu ya chama New York. ..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie maccm Mbona mafisadi wenu hamuwahoji na mnawachagua mapumbu yenu

      Delete
  23. Kila Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,hao wasanii wako sahii kabisa kama wameona CCM kuna maslahi waache waendelee na CCM yao sugu Bongo fleva afande sele wameingia Chadema kwa manufaa yao sisi wananchi kazi yetu kuporomosha matusi kwa watu kisa mpenzi wa chama fulani Joto hasira ya nini tafuta pa kulia na maisha yako na familia yaendelee,Swali tangia sugu awe mbunge wewe mdau na familia yako kakusaidia nini? Ukilijibu hilo swali utaona siasa mchezo mchafu watu wapo kwa ajili ya maslahi yao na familia yako sio wewe unakesha povu linakutoka mdomoni siku ya siku unaambulia patupu,poleni mliokwazwa na wasanii kujiunga na ccm kama Chadema ndio mnaona ndio chama pekee cha wasanii jitahidini next year mkishika nchi watahamia huko!!

    ReplyDelete
  24. Wamenunuliwa tu,sio hiari yao,

    ReplyDelete
  25. Mc2fanye kufikiria mlilelewaje? Maana ma2c bla woga ni ishala ya ujinga na uhaba wa fikra badiliken.

    ReplyDelete

Top Post Ad