WEMA: EBO! KAJALA ANATEMBEA NA CLEMENT?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.

Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...

“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwan kajala ndugu yako, muache ajilie vyake

    ReplyDelete
  2. Wewe mbona ulitembea na shemeji yako mme wa dadaako Tunu aishie marekan. Sasa kajala akitembea na Clement kuna ubaya kwen dadaako yule

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa mdau hapo juu

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu fagilia wawa.

    ReplyDelete
  5. kajala wewe hakuhusu bana muache atafute rizki yake nae! wewe umeshatemwa tulia..!

    ReplyDelete
  6. Wote wawili malaya tuu so ata mkishea hakuna cha ajabu

    ReplyDelete
  7. Ucwaze mrembo fanya maisha!

    ReplyDelete
  8. We mdau mwongo wema alitembea na shemej yake sa ngap udaku utuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad