WHATS APP MESSENGER INANIVUNJIA NDOA YANGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana 

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema 
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. usikague simu ya mumeo au mkeo. Period.. wengine wanapenda kuflirt tu na watu.

    ReplyDelete
  2. True that,mi nilitaka kukimbia ndoa sababu ya kukagua cmu nimeona ni ujinga,Achana na simu ya mumeo.

    ReplyDelete
  3. acha kabixa utaumia xana na unaweza pata hata ukichaa kabixa...acha cimu ya mumeo kabixa fanya kama hata hujaona

    ReplyDelete
  4. Me nipo kwenye ndoa huu mwaka naingia wa 14 hayo mambo yapo sana na ww umetuli ulijua upo kwenye ndoa takatifu! Kitakacho fata atakwambia shetani kampitia na hilo ndio neno lao kuu, huo ni Uongo anakungonga na ataendelea nao kama kawaida na ukimuuliza maramara ndio anazidisha na utawaza mpaka utarudi Utoto kwa kukonda na yy ataona kwake umefika huna dhamani tena ya kupendwa upo hapo mamy! Na mimi hayo yote nimepitia tena hayo yako cha mtto Ushauli wangu naomba kuanzia sasa usimuulize mzarau ns ww ukipata mwanaume wa pembeni usilaze damu tena chagua aliye sahii kwako unajua huyu atakuwa wa shida na Raha, tena usimwadisie ata Rafiki labda ndugu yko wa DAMU ata ukitoka ku date ukirudi kimya ma ww unamchora utasaau mambo yake yote hii ndio dawa yao ! Hao ata wafanyakazi wa ndani wanawatafuna na rafiki zako, nasiku ukiona katembea na Rafiki yako ww tembea na Rafiki yake mmoja mstarabu najua ipo cku atakutongoza huyo rafiki yke na ukitongozwa na Rafiki zake usimwambie ukiona ivyo ujue na mumeo anatembea na watu wako wakaribu ndio mana na wao wanakutongoza,cku njema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tano mdau hapo juu.yani ndio dawa yao ni waongo utamshika hata mara mia atasema kapitiwa na wanatembea nao sana.ukimweka akilini atakuumiza kichwa.ukitaka kutoka toka ukitaka ku chat chat nao sana tu na ww.kimya kimya na simu yake achana nayo ushamjua mpuuzie tu.nilisha mshtukia wangu nikaumia sana ila sa hivi mpango mzima najiachia na mie.wanaume washenzi sana.

      Delete
    2. Mtoa mada kwanza pole sana. Naona ndoa yako bado changa, lakini ni vizuri tuongee mambo ya kweli. Yaani ukisikia ule usemi kuwa wanaume wote mama yao mmoja usiidharau, hiyo ni kweli yaani unakuta mume amekuchumbia na adabu na nidhamu zote, wewe kama mke unakazana kutengeneza na kuimarisha ndoa yenu kwa sala, matendo na mapenzi ya dhati kwa mumeo kumbe huku nyuma mmeo ni just like another male whore. Hiyo inauma sana lakini ukweli ni ukweli mara nyingi sana wanaume hawawezi kuacha tabia za kuflirt na hata kucheza game za nje. Mimi nilipogundua kuwa Mme wangu mpenzi alikuwa anawasichana tena wadogo haswa wakati huo nilikuwa 28yrs na watoto wawili, yaani nilisononeka karibia nipate stroke nilianza kuona aibu labda kuna kitu nakosea ndo maana atakuwa na wengine kumbe no wanaume wana tamaa ni hivyo walivyo, yaani nilipostuka huko, nilijiona kumbe nilikuwa na mtazamo tofauti wa ndoa na reality ni tofauti sana yaani hata sa ingine huwezi kuomba ushauri kwenye vitu vingine. Mpenzi naona wadau wanakupa mawazo wewe chagua utakaloona litakufaa kwako na familia yako. Pole dear.

      Delete
    3. Jamani mimi kabla sijaolewa nilikuwa nikisikia Mama flani mke wa mtu anampenzi, yaani nilikuwa namwona ni malaya aliyekuhubu, kumbe hakuna mwanamke aliyeolewa ambae ni malaya wengi wao haya matatizo (kama ya huyu mtoa mada) ndo chanzo cha wanawake walio ndani ya ndoa kuanza kujivinjari, ili kujipooza maumivu

      Delete
    4. Kweli nimeamini mwalimu wenu kipofu tena pia alikua kiziwi!! Mwashauriana ujinga2!! Kama kweli mwataka paipu wekeni namba zenu hapo sio kubwabwaja tu. Nyooooo

      Delete
    5. Mtoa mada kwanza pole sana. Naona ndoa yako bado changa, lakini ni vizuri tuongee mambo ya kweli. Yaani ukisikia ule usemi kuwa wanaume wote mama yao mmoja usiidharau, hiyo ni kweli yaani unakuta mume amekuchumbia na adabu na nidhamu zote, wewe kama mke unakazana kutengeneza na kuimarisha ndoa yenu kwa sala, matendo na mapenzi ya dhati kwa mumeo kumbe huku nyuma mmeo ni just like another male whore. Hiyo inauma sana lakini ukweli ni ukweli mara nyingi sana wanaume hawawezi kuacha tabia za kuflirt na hata kucheza game za nje. Mimi nilipogundua kuwa Mme wangu mpenzi alikuwa anawasichana tena wadogo haswa wakati huo nilikuwa 28yrs na watoto wawili, yaani nilisononeka karibia nipate stroke nilianza kuona aibu labda kuna kitu nakosea ndo maana atakuwa na wengine kumbe no wanaume wana tamaa ni hivyo walivyo, yaani nilipostuka huko, nilijiona kumbe nilikuwa na mtazamo tofauti wa ndoa na reality ni tofauti sana yaani hata sa ingine huwezi kuomba ushauri kwenye vitu vingine. Mpenzi naona wadau wanakupa mawazo wewe chagua utakaloona litakufaa kwako na familia yako. Pole dear.

      Delete
  5. Tena na ww ukipata wako tombanaa mpaka! Usipo fanya ivyo atakunyanyasa sana kama mimi nilimweshimu kama katiba ya nchi kumbe mwenzangu maraya mpaka kws marafiki,wafanyakazi wa ndani,baamedi akilewa twende tena hawa hawe nacho na wala asiwe nacho wote sawa we ukisema tusitumie mwenzako ndio anaenda kutombea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahhahahahaha....mdau kweli umenichekesha eti 'nilimweshimu kama Katiba ya nchi' hahahahaha! jamani nacheka kama ni mazuri

      Delete
    2. Hahhahahahaha....mdau kweli umenichekesha eti 'nilimweshimu kama Katiba ya nchi' hahahahaha! jamani nacheka kama ni mazuri

      Delete
  6. bi dada enjoy maisha nn akukondeshe mtoto wa watu huyo asikufanye chizi mim nilio mkutana nayo ni hatar kusimulia Sa hivi ngoma droo kumamaee.whatsapp hureee Good wife hureee maisha yanaendelea

    ReplyDelete
  7. Tena uko katoe mkundu mana wao wakitoka nje nikufirana tu hakuna lingine

    ReplyDelete
  8. Ushauri mbaya kwan alimkuta anatenda.acha umalaya acje akaleta ngoma bure kwy familia .shenz we

    ReplyDelete
  9. Ushauli mbaya nani kakwambia mkundu ww! Kwani yote a
    Kaongea mengine siri yake ndugu kwani kakwambia yy mtt? Yy ni m2 mzima ata akipata wake atatumia kondom kwani Mme wke anavyotomba nje kaleta ugomjwa we kuma mwache naye akatoe dukuduku lake.la moyoni.bi Dada

    ReplyDelete
  10. Mwanamke msenge huvunja ndoa yake kwakupewa ushauli na wanawake wasenge wasojua nini maana ndoa.Akili kumkichwa.

    ReplyDelete
  11. Mdau wa 5:17 mbona hujamalizia sentensi yako......na MWANAMME MSENGE JE ndio. anayejenga ndoa au??, kwanza ule msemo kwa wale Wakristo, eti What God has put together no one should put asunderm....ni lazima iongewe kipendele kuwa 'INCLUDING MUME NA MKE' vile vile

    ReplyDelete
  12. Mdau wa 5:17 mbona hujamalizia sentensi yako......na MWANAMME MSENGE JE ndio. anayejenga ndoa au??, kwanza ule msemo kwa wale Wakristo, eti What God has put together no one should put asunderm....ni lazima iongewe kipendele kuwa 'INCLUDING MUME NA MKE' vile vile

    ReplyDelete
  13. hakuna point ya kua mwaminifu wakati mwenzio kutwa kucha na vitoto utaumia bure tafuta mtu wako akupe vile vyote unavyokosa uta enjoy sana maisha huyo stress mdharau tu

    ReplyDelete
  14. asanteni mnooo sasa we fala get ready km ukimwi raha kuumix leta nusu nami ntaletw nusu maisha mafup ksa chw kujistress

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amen! Si 50 / 50 kwa hivyo wanandoa mchague tena naongea na hawa mamburulazz wanaume wanaojiona midume ya mbegu, yaani mtasaidiwa haya masiku mpaka basi, kama umeona muheshimu mke wako manake mara nyingi hii midume ndo inaanza vurugu za game za nje, sasa tumechoka ni mambo ya 50/50 stress mpelekee nyumba ndogo

      Delete
    2. Kuna Dada mme wake ni player wa ukweli tena mpka fullback anakanyaga tu bila aibu,sasa alichokifanya yile dada nae akatafuta poozeo lake ili kuzawazisha mambo,Mume akabamba mesege bi dada alikua anamtumia hawara yake kumshukuru kwa mchezo aliompa,ilikua balaa mwanaume mwenye mke kwa asira akamkusanya mkewe na watoto kambwaga kwa mama yake kisa kafuma msg ya mwanaume mwingine kwenye sm ya mke wake! Unaona wanaime wanavyo onea wanawake kwa yeye ni sawa kukutwa na msg na Kutomba nje lakini sio kwa mwanamke!! Ushauri wa bure ukipata pa ku poozwa dada we nenda katoe stress ila kama unamtegemea mumeo kua makini naana akikubamba talaka njeee!!

      Delete
  15. Nimesoma comments za wanawake kwenye huu mada nimegundua kitu kimoja tu kwamba wanawake wengi kumbe hawawajui wanaume na mpaka waume zao. Tafadhalini sana someni haya kwa kifupi sana. Mwanaume always hawezi kuwa na mwanamke mmoja unless anamatatizo so unapoolewa hilo ulijue. Mwanaume hutembea na wanawake wa nje mara nyingi kama adventure tu bt mapenzi yapo kwa mkewe home. Mwanaume ndio anacontrol shughuli nzima ya sita kwa sita so anajua namna ya kujikinga asilete ukimwi nyumbani, ukiiga utatiwa bila condom na utaangamiza familia yako. Mwisho acheni kujiachia mkisha olewa lazima ujiweke vzr mumeo akutamani cku zote, nyinyi mkiolewa mnajiachia sana na kuzeeka ghafla huku mapenzu mnahamishia kwa watoto yote.Mwisho acheni kero na maudhi yasio na lazima hupunguza mapenzi na hamu ya tendo la ndoa kwa ujumla ndio mtu hutoka nje kupumua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na advice kwa wanaume wenye vitambi miezi mwili baada ya ndoa mbona umevikalia?. Jamani maisha haya sio ya miaka 47 kila mtu anahaki ya kujifurahisha, ukiniona kero basi hata mie nakuona kero, wanawake wanaotoka nje ya ndoa huwa wanatembea na kondoms kwenye mabegi(uwaite malaya au nini haijalishi) ili hali anataka charge kwenye game...upo hapo mdau? mambo ya kumwabudu mburulazz la kiume eti kwa sababu ni mume na lenyewe halijui hata maana tumewaachia Bibi mzaa Bibi aliyemzaa mama yetu..mpo hapo??! ndoa ni kuheshimiana, unasemaje tujiweke vizuri wakati ndo tumezaa watoto, hiyo mimba iliyopanua tumbo ingebebewa mgongoni au??! Mbadilike hakuna King na mwana tena siku hizi! Mpo hapo mburulazzzzz??!

      Delete
  16. wanawake mpo wengi hata hao ambao hawajaolewa wanahitaji kufarijiwa na hata wanaume wakioa wanawake 50 kwa mwanaume m1 hao wanawake bado hawaishi, HESHIMU NDOA YAKO USIJEKUMFANYA MTOTO WAKO AKOSE MALEZI

    ReplyDelete
  17. yaani nashindwa kuelewa kwanini watu wanafunga ndo siku hizi, kwanini wabongo msiwe kama WAINGEREZA, wanaishi pamoja. penzi likiisha kila mtu anarukia nyumba ndogo maisha yanaendelea na watu mnakutana bar na ma eksi wenu na kucheka kama hakuna chochote kimetokea.

    ReplyDelete
  18. Mi sioni sababu ya kutembea nje ya ndoa kama ukiwa na hamu na mumeo anakuridhisha. Acha kukagua simu za mumeo,acha kufuatilia mambo ya ndani ya mumeo. Concetrate na mtoto,huyo ndio ana mapenzi ya kweli kwako. Tafuta namna ya kujiongezea kipato,tafuta namna ya kuwa mwanamke mwenye maendeleo. Waume wetu wa siku hizi sio wenye mapenzi ya kweli,ni watu tu wa kumalizia ile hulka ya kiafrika,mwanamke akiolewa huheshimika kwenye jamii. Basi kama mumeo amekupatia heshima kwenye jamii kwa kukuvalisha mapete ya uchumba na ndoa,mshukuru then angalia maisha yako ya baadae ukijiuliza utapofika uzeeni na mumeo,ukiwa una pesa je atakupigia magoti au ataendelea kukudharau na kutembea nje. Nawasilisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahahaha..... mleta mada naona uchague kusuka ama kukata, uwe mke mwaminifu na feelings zako uzifungie kwenye kabati na ufunguo uutupe au ujione kuwa wewe ni mwanamke mkamilifu anayependa kupendwa na kutimiziwa haja zako kama mwanamke au umketishe mmeo chini mlizungumze na uache kuchunguza chunguza simu zake huku akilini ukijua fika kuwa haupo kwenyewe na hakuna guarantee kuwa wewe ndio utakuwa mwanamke pekee wa kulimeza dushelele lake, hapo ndio panamoto hapo. good luck, kwa upande wangu 'we live only once'

      Delete
  19. NAWE JIUNGE NA WASAPU

    ReplyDelete

Top Post Ad