WIZKID AWA MSANII WA KWANZA AFRICA KUFIKISHA FOLLOWERS MILIONI MOJA KWENYE TWITTER

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ayodeji Ibrahim Balogun aka Wizkid, amekuwa msanii wa kwanza wa Naija kufikisha wafuasi millioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 23, amefikisha idadi hiyo Februry 19, 2014 huku akiwaacha wasanii wenye majina makubwa na waliotangulia kufahamika kwenye game duniani kabla yake.

D’Banj anafuatia akiwa na wafuafi zaidi ya 816,000, Don Jazzy 719,000, 2face Idibia 686,000 na muigizaji wa kike Genevieve Nnaji 542,000.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Katengeneza pesa kiasi gani?haya mambo ya followers wa tweter hayapambi meza!

    ReplyDelete

Top Post Ad