WOLPER GAMBE AJIANIKA LIVE AKIFANYIWA MASAJI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu. Wolper a.k.a Gambe ‘alifanya yake’ ndani ya saluni (massage parlor) moja iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar. Mara baada ya tukio hilo huku akiwa ‘amefotolewa mapicha’ ambayo aliyatundika kwenye ukurasa wake wa Instagram, mwanadada huyo alielezea jinsi alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa masaji. “Asante…(akitaja jina la saluni), kwa raha niliyopata leo…, mi siyo mchoyo kwa kweli karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia walah,” aliandika Wolper. Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yeye aseme tu alikuwa nyege nashikwa shikwa mpaka kajipizia, eti raha kuma kubwa bakuli la mbwa dogi

    ReplyDelete
    Replies
    1. utakufa na roho mbaya huenda hupendwi na wa2 ndo maana roho kama sura yako mxxiuuuu

      Delete
  2. me mtoto macho tu hayo!! dahhhh!!

    ReplyDelete
  3. acha matusi bwana, kwani amekufanyia nini? watu wengine nyie sijui hamjalelewa na wazazi, sasa unamtukana mwenzako kwanini?

    ReplyDelete
  4. Ila kuna wanadamu wana roho mbaya ya wivu, na wamekosa hekima na busara, mtu ametoa maelezo yake juu ya massage na jinsi alivyojisikia, wewe unamtukana matusi ya nguoni. Hivi kwani ni lazima kila unaloliona ukitolee hoja? Kama umesoma hbr na haijakuvutia, iache na ufanye mambo mengine ya msingi. Yawezekana massage kwako ni uhuni, lakini kwa ufahamu wangu, si uhuni. Acheni mitusi, wewe kama ni mtoto wa mtu jifunze ustaarabu.

    ReplyDelete

Top Post Ad