YANGA YAFANYA MAUAJI YAICHAPA RUVU SHOOTING, YAITANDIKA MABAO SABA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imefanya mauaji kwa Timu ya Ruvu Shooting,  imeikandamiza mabao 7-0. Ruvu Shooting 
Wafungaji wa mabao ya Yanga, hivi punde ni Emmanuel Okwi, ambaye amepiga 1 mpaka sasa, Ngassa 1, Kavumbagu 2, Msuva 2 na Kiiza 1. 



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe miimeno ya ngasa ndo ipo ivi....lkn mwanaume hasifiw uzur sawa...hongera yanga yangu

    ReplyDelete
  2. Yanga noumaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Cha muhim.ubingwa. Na kuitoa mwarabu.ndo titajua.kweli sio kibahatisha.
    Maana mwalabu..kachua ndoo.juz.
    Tukaze

    ReplyDelete
  4. Cha muhim.ubingwa. Na kuitoa mwarabu.ndo titajua.kweli sio kibahatisha.
    Maana mwalabu..kachua ndoo.juz.
    Tukaze

    ReplyDelete
  5. Hongera watani zetu, a.k.a WAZEE WA HAPA HAPA.

    ReplyDelete
  6. Chezea yanga wewe!! bado warabu tunapiga tano bila.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vice versa is true. Hao Waarabu unawajua au unawasikia?

      Delete
    2. Safiiiiiiii mnooooooo

      Delete
  7. Piga waarabu haooo wakale tende kwao.

    ReplyDelete
  8. nakweli Yanga shangilieni sana maana kipigo cha waarabu simnakijua kinakuja.

    ReplyDelete
  9. al ahly lazima awapige izo 7

    ReplyDelete
  10. Hamna lolote kwani wao ndo nin mpira dakika 90 acheni woga bwana

    ReplyDelete
  11. Lazima tuwapige 3 bila al ahly chezea yanga wewe!! kisha tunaenda kwao tunawapiga 1 bila.

    ReplyDelete
  12. Mabingwa wa Soka wa Tanzania, DAR ES SALAAAAAMMM YOUNG AFRICANSSS, yafanya vituzzz, haya sasa kwa wale wenzetu wasiyo jua mpira vipi sasa, na hawa ni komorozzzz? na jana mmekaliaaaa JKTTTTTT!!! pigaaaa hayooooooo!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad