ACT YASHUSHA BENDERA ZA CHADEMA HUKO KIGOMA,WANACHAMA 3500 WA CHADEMA WAJIUNGA ACT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chama cha Alliance For Change and Transparency Mkoa wa Kigoma,kimeshusha Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tawi la Ujiji  stendi ya zamani na kupandisha bendera ya (ACT) wakati wa uzinduzi rasmi wa matawi sita katika manispaa ya kigoma ujiji.
  Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, Katibu wa ACT Mkoa Athuman Kabogo alidai lengo la kushusha bendera hiyo ni hatua ya kukataa kugeuzwa kuwa vibaraka wa watu wengine kwa kukosa haki ya kuhoji na kuwania nyadhifa za chama hicho na
hivyo  kuanzisha  ACT kama chama cha  wanyonge kinachoweza kuwasikiliza na kutoa haki kwa kila mmoja
  Kabogo aliwataka wanachama wahitaji, wachukue kadi za ACT ili chama kipate usajili kamili kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu husika pamoja na kutoa michango endelevu ,ikiwa ni jitihada za makusudi kuhakikisha chama kinasonga mbele
kwa maslahi ya Taifa.
  “Wananchi nyie ni chachu ya chama kuwepo kwenye mchakato wa uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa serikali za mitaa kwa kukiamini  na kukipatia ridhaa kiweze kuleta
mabadiliko ya kimaendeleo” alisema Juma Ramadhan aliyekuwa katibu kampeni wa CUF kigoma.
  Kwa upande wa Katibu ACT Kanda Magharibi Wiston Moga alisema, lengo la chama ni kuleta mabadiliko kwenye ulingo wa siasa,ambapo wao wamedhamiria kutetea maslahi  ya umma kwa lengo la kuondoa mfumo wa maslahi binafsi ambayo ni chachu ya vyama vya siasa kushindwa kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi.
  Katika ziara hiyo ya uzinduzi wa matawi ya chama husika,ACT kimefanikiwa kufungua matawi kwenye kata sita kati ya kata 19 zilizopo katika manispaa ya kigoma ujiji,huku baadhi ya viongozi kutoka UPD,CHADEMA na CUF wakijiunga na chama hicho
kwa kudai wanahitaji chama chenye uchungu na kukabiliana na changamoto za wanyonge.
  Hata hivyo  wanachama 3500 wa chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema katika tawi la Ujiji mkoani Kigoma wamehamia chama kipya cha Alliance For Change and Transparency (ACT).
 Na Magreth Magosso, Kigoma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haki ya mungu kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  2. Wale wale 2 kasoro majina

    ReplyDelete
  3. Wale wale 2 kasoro majina

    ReplyDelete
  4. Bring it on! ACT.

    ReplyDelete
  5. Zittoooooo baba karibu, wapige bao la kisigino wajinga hao. ACT ni Nchi nzima......hamna mchezo....Zittooooooo....

    ReplyDelete
  6. sawa zito, kuma zenu cdm

    ReplyDelete
  7. duh!! mmejuaje? clipendi li cdm na ma viogozi wakd

    ReplyDelete
  8. cdm mmechemka washamba nyie

    ReplyDelete
  9. atc nchi nzima kumamake cdm kwishinehii na ubnafshj wachagga tupu

    ReplyDelete
  10. Cyo dhambi kufuata upepo'masalia wa kigoma hawawez kukiyumbisha chama cha chadema' 2po pmj mwanzomwisho'tulianza na mungu na tutamaliza na mungu

    ReplyDelete
  11. Karibuni Arusha!!! Wanawake wote tutaamia Atutaki unafki!!!!!

    ReplyDelete
  12. kamateni na vyuoni huko ndo viongozi wanapozalishwa

    ReplyDelete
  13. Hata mimi nataka kuanzisha chama changu naomba muniunge mkono jamani watanzania, hamuoni kua hali ni mbaya

    ReplyDelete
  14. Eti karibia na uchaguzi mbwembwe nyiing kama nccr mageuzi walivochanganywa chezea chichi em ww???? Hakuna cdm wala act mnavurugwa tu. Ndo maana naipenda tz matajir watakuwa matajir na poor watakuwa..................... Vijana wanateketea kwa HIV hata hawawangalii cox watoto wao wako vizur. Mweee ishu ni nyng haya tuangalie

    ReplyDelete
  15. Acha usenge ww unaeshabikia chadema,watakufanyia nn hao wachaga na huyo mbowe mchezesha disco? Njoo ccm kumamako ww

    ReplyDelete
  16. Chadema wajinga wote nyie na uchaga wenu

    ReplyDelete
  17. Naona sasa hv chama cha mbowe na wajinga wenzie mnamuandaa alfonce mawazo kugombea ubunge ars mjini,mmechemka mafala nyie,kwanza viongozi wenu wanauchu na madaraka na kale kakimbola kenu slaa,mliona mmemkomoa zito kumbe mlejipalia kaa la moto,sasa rais ajae atakuwa LOWASA halafu waziri wa fedha ZITO mtaipenda chadema kumamayo zenu...nyoooooookoooo yaone yalivyo

    ReplyDelete
  18. karibuni kwenye chama cha wasaliti, ukiwa wewe ni msaliti wa aina yeyote iwe wa ndoa yako au chochote unakaribishwa ACT!!! ACT hoyeeeeee!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad