ALI KIBA AUKANA WIMBO WAKE MPYA"SIFAHAMU LOLOTE KUHUSU HUO WIMBO WANGU MPYA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku kadhaa baada ya kusambaa wimbo ulioaminika kuwa ni wa Ali Kiba ukiwa na jina la Rosa, mwimbaji huyo ameukana wimbo huo na kudai hafahamu lolote kuhusu wimbo huo na hata hajawahi kuusikia.

“Nyimbo zipo lakini sija release nyimbo, sijatoa nyimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuusikia.” Amesema Ali Kiba.

Mwimbaji huyo ameongeza kuwa watu wameona yuko kimya na wameamua kutoa wimbo kwa jina lake kitu ambacho hakina mantiki na kwamba anadhani watu hao wamefanya makusudi au wametumia sayansi ya sauti ku-fake sauti yake.

Amesema hajui lengo la mtu aliyefanya, “I think ni trick moja ambayo imefanywa sielewi na nani lakini I don’t know if in a good way or bad way”.

Ameiweka positively pia kuwa huenda aliyeiimba ni mtu anaemkubali yeye kama role model wake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. eee!! makubwa hayo nashanga!!

    ReplyDelete
  2. Ila kaka mbona ile sauti ni yako kabisa, na kama ni ya kuitengeneza basi hongera zao

    ReplyDelete
  3. Kweli wabongo noma

    ReplyDelete
  4. asi2danadanye sio watoto ss

    ReplyDelete
  5. jamani Mimi mwenyewe niliposikia hii nyimbo nilipata mashaka kwa anaeijua vzr sauti ya kiba atajua tu kuwa hapa tumeibiwa baada ya kupata hii habar sasa nimeamin kabisa

    ReplyDelete
  6. duh inashangaza sana sasa bas fanya uachie wimbo wko au unaogopa

    ReplyDelete
  7. wimbo wenyewe mbaya!!!!!!!!!!!!!mimi naupenda dushelele..

    ReplyDelete
  8. Nana inaelekea unataka dushelele likukandamize.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kha...makubwa,labda sinta...maana anaga boyfriend.....sijui anajipijaga punyeto.

      Delete

Top Post Ad