B-HITS KUNA SHIDA GANI MBONA WASANII KILA SIKU NI BEEF NA UONGOZI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya week iliyopita habari iliyokuwa katika headlines ya Rap Mrap ambaye alikuwa chini ya uongozi wa Record Label ya B-Hits kutangaza kuwa amejitoa/Kufukuzwa B-hits nimejiuliza kuna shida gani kwani  siku si nyingi pia Wasaniii kadhaa walifukuzwa katika Record label hiyo Akiwemo Mabeste na Vanessa Mdee kwa mambo kama hayo hayo ya Mrap na Mambo yakaenda Redioni na Mitandaoni ....Pia nikivuta kumbukumbu nakumbuka Wasanii kama AY na Mwana FA walikuwa katika Studio hiyo lakini Mwisho nao walijitoa....Je kunani B-Hits , Je Tatizo like kwa Wasanii Wenyewe ama Studio? Anayejua Atujuze.....
-John K
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bila kumsahau Noorah na yeye alitimuliwa...

    Saivi amebaki dedy peke yake!

    ReplyDelete

Top Post Ad