BABA KANUMBA: NITAMPELEKA MAMA KANUMBA SEGEREA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mayasa Mariwata

BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba anaonekana kuendelea kuwewesekea mali za mwanaye baada ya kuibuka na kudai kuwa, atampeleka Segerea (jela) mzazi mwenzake, Flora Mtegoa kwa madai kuwa amezifuja mali za marehemu.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kwa njia ya simu, baba Kanumba alisema, ameona taarifa kwenye gazeti kuwa mali nyingi za marehemu Kanumba zimeuzwa huku yeye akiwa hajaambulia chochote.

“Huyu mama Kanumba ana laana yangu, amefuja mali za mwanangu kwa kushirikiana na Seth, mimi sijashirikishwa, nisipopata chochote tutafikishana pabaya,” alisema mzee huyo.

Kuhusiana na hilo, mama Kanumba huyu hapa: “Kwa mila za Kisukuma Kanumba siyo mwanaye kwa kuwa hajanioa, hivyo kuhusu suala la mali kama anazijua zinazomhusu aonyeshe moja baada ya nyingine hapo itakuwa sawa.”
Credits:Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa umri ulionao nao mnashangaza umma!!! Hamna mashamba uko Shinyanga mlime??? Au ngo'mbe? Acheni Aibu? Mali zenyewe zipo? Zimeshapeperuka!!!

    ReplyDelete
  2. Kumanina baba kanumba Mtoto kalelewa namama weunataka nn?acha ujinga ww?ngojawanaume wenzio wale matunda.

    ReplyDelete
  3. huyu baba nahisi hamnazo, ulishindwa kuja kumzika mwanao leo mali wazipigia kelele? manina mkubwa pind huyo mama anamlea uliweka mapumbu yako huko leo fyuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. tembea mpaka Dar tena kwamgu mpaka kieleweke

    ReplyDelete

Top Post Ad