BABA WA DOGO JANJA AONGEA BAADA YA DOGO JANJA KUOMBA MSAMAHA TIP-TOP

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Dogo Janja alishakua mtu mzima na tayari nilishawahi kumwambia achague mahali atakapoona kuna manufaa kwake, akishafanya maamuzi yake huwa ananishirikisha kwenye kujadiliana, tayari alishawahi kuniambia kuwa atafanya maamuzi baada ya kuona Mtanashati hakuna muelekeo wowote na hakuna anachopata ndipo akaniambia baba mimi mtu yoyote au kundi lolote nitakalokubaliana nalo basi nitafanya nao kazi’.
Hayo ni maelezo ya Baba mzazi wa Dogo Janja ambae ametoa baraka zote kwa Janja kurudi kujiunga na Tiptop Connection hivyo kazi imebaki kusikia kutoka upande wa Tiptop kufahamu kama wameukubali msamaha wa Dogo Janja" BABA DOGO JANJA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumekusamehe dogo ila usirudie tena.

    ReplyDelete
  2. baba dogo naye njaa tu ndo inamkabili, wakati ye mwenyewe alimsapoti dogo kuichafua tiptop, ye ndo angetakiwa kuwa wa kwanza kuomba radhi. kwani hakutaka kusikiliza pande mbili za shilingi.sasa mambo yamekuwa magumu anatosa dogo akaombe radhi. hii ndio mizazi isiyojua kulea vifaranga vyao.

    ReplyDelete

Top Post Ad