BABU SEYA, PAPII FURAHA UPYA! WAKILI ANASA USHAHIDI WA KUWATOA GEREZANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Elvan Stambuli na Haruni Sanchawa

MWANAMUZIKI mkongwe nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anayetumikia kifungo cha maisha jela na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa kuwanajisi watoto tisa, wana furaha upya baada ya mwanga wa kuweza kurudi uraiani kuchomoza tena, wakili wao, Mabere Nyaucho Marando amezungumza na Uwazi.

KASORO HUKUMU YA MWANZO Akizungumza juzi jijini Dar es Salaam, Marando alisema kwamba katika kesi ya Babu Seya na mwanaye iliyosikilizwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar aligundua kuna vielelezo muhimu ambavyo havikuambatanishwa hivyo kuwa vigumu kwake kuviingiza na kuvitetea katika ngazi ya mahakama ya rufaa iliyoshindilia adhabu dhidi ya wawili hao.

Marando alisema mwanga mwingine wa kupitiwa upya wa mashitaka yao umekuja baada ya kuwepo kwa kesi mpya inayofanana na ya akina Babu Seya kwa asilimia mia moja. Alisema kesi hiyo ipo kwenye hatua ya mwisho ambapo ushindi wake utamfanya apate nguvu ya kurudi mahakamani kuwatetea wafungwa hao waliohukumiwa mwaka 2004.

DIRA KWENYE KESI HIYO “Kuna kesi mahakama kuu kanda moja nchini inayotetewa na wakili maarufu (jina tunalo). Hii kesi inafanana sana na ya akina Babu Seya. Uzuri wake ina dalili zote za washtakiwa kuibuka na ushindi wa kishindo. MAHOJIANO Mazungumzo kati ya Marando na Uwazi yalikuwa hivi:

Uwazi: Lakini mheshimiwa kesi ya Babu Seya si ilifika katika rufaa mara tatu na wakashindwa na ulisema hakuna namna tena, sasa itakuwaje kurejeshwa tena huko? Marando: Ni kweli, lakini ni jambo linalowezekana.

Nimesema kama hiyo kesi ninayoitaja watashinda na wanaweza kushinda, basi mimi nitaenda kwa Nguza na kumwambia wazo langu, akikubali nitaiandikia barua mahakama ya rufaa kuomba kupitiwa tena kwa yale mashitaka, nitajenga hoja.

Uwazi: Hiyo kesi unayoingoja hukumu yake inahusu nini? Marando: Inahusu kubaka na kulawiti, ni kama hii ya Babu Seya na wanawe. Hakuna tofauti. Sasa washitakiwa wale wakishinda ndipo hoja inapokuja, kwa nini vipengele vilevile viwatie hatiani akina Babu Seya wengine viwaweke huru, ndivyo inavyokuwa katika kesi. Uwazi: Ukiwaandikia mahakama ya rufaa wakakubali, majaji walewale watasikiliza ombi lako?

Marando: Hilo ni la mahakama lakini idadi inaweza kuongezwa na kufikia majaji sita au saba.Uwazi: Una hakika utashinda na kukubaliwa? Marando: Kama nilivyokueleza, ikipita ile kesi halafu mahakama ya rufaa wakakubali kupitia tena jalada, nina uhakika wa kushinda.

ANALIPWA NA NANI? Wakili huyo maarufu alisema yeye aliwatetea wanamuziki hao bure kwenye kesi yao ikiwa katika ngazi ya mahakama ya rufaa baada ya kusoma jalada lenye kurasa 1,362 ambapo aligundua kuwa kuna nyaraka kadhaa ambazo hazikuambatanishwa katika Mahakama ya Kisutu ambazo zingeweza kuwaokoa na kifungo wateja wake.

“Unajua kesi inapokuwa mahakama ya rufaa, majaji wanachofanya ni kupitia jalada si kusikiliza, hivyo haiwezekani kuambatanisha vielelezo vipya,” alisema Marando ambaye anajipambanua kuwa awali alishinda nusu kwa kuwatoa nje watoto wa Babu Seya, Mbangu na Francis Nguza ambao nao walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa moja na wafungwa hao.

HUKO NYUMA Juni 25, 2004 Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam, Addy Lyamuya aliwatia hatiani kwa ubakaji na ulawiti Babu Seya na wanawe Papii Kocha, Mbangu na Francis. Januari 27, 2005, Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Thomas Mihayo alitupilia mbali rufaa yao iliyokuwa ikipinga hukumu hiyo.

Wakili Marando akapeleka suala hilo Mahakama ya Rufaa Tanzania ambako Mbangu na Francis waliachiwa huru na yeye kutangaza kwamba ameshinda nusu. Babu Seya na wanawe walidaiwa kutenda makosa 10 ya kubaka na kulawiti watoto hao kati ya Aprili na Oktoba 2003 katika maeneo ya Sinza ya Kwaremmy, Dar es Salaam.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo kuna kitu..huyo mzee noma kama kahamua kufanya kazi hiyo freely basi atapata wateja after seccessing with that.....maana watu watamkimbilia yeye..bora watoke waje watuburudishe..kama kubaka hata kapuya kabaka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kapuya kabaka above 18 yrs ww na na sijui juju . but babu seya amelawit vitoto ambavyo havijui chochote. So ujue kutofautishe kubwa jinga ww. Kapuya walikubaliana wenyewe

      Delete
    2. Unaushahidi kuwa kawalawiti watoto au bendera hufuata upepo!! Kila mtanzania anajuwa kuwa babu Sea na mwanae walionewa.

      Delete
    3. Umeonewa mkundu wako labda. I wish Nguza atoke aje kuwafira na kuwatomba wote wanaomtetea eti vile ni mwanamziki. Fikirieni wangefirwa ndugu zenu ingekuwaje nyinyi mnawaza music tu mikundu yenu. Mimi ningemyonga kabisa nn jela la maisha huku anakula nguna kila cku.

      Delete
    4. Wewe mwenyewe unatakiwa unyongwe na huo mdomo wako mchafu! Wewe sio binadam wakawaida aise, sasa matusi yote hayo ya nini!!?

      Delete
    5. Watu kaxi n kuhukumu wenzao...wakat wao hutenda hayohayo...Kuna wamelaaniwa bila kutukana hawaishi...

      Delete
  2. Wanaojua kuwa walibaka na kulawiti ni Babu Seya, Papi na MUNGU tu!
    Tuacheni kubwabwaja......!!

    ReplyDelete
  3. mmmh!!!!! haya achatuone itakavyokua ila kama ni kweli mliwanajisi hao watoto na mnataka muwe huru mungu atawahukumu nyie ila kama mnasingiziwa mungu atawahukumu wao

    ReplyDelete
  4. Yani kweli kabisa mnaweza kuamini kwamba baba mtu na watoto wake watatu wanaweza kufanya kitendo cha kulawiti watoto 9 jamani mi najua tu ni chuki binafsi na kuna kitu baina yao na mkubwa serekalini si bure
    na ndie anaeendelea kuwagongea msumari wazidi kuteseka ila Mungu yupo malipo ni hapa hapa duniani

    ReplyDelete
  5. Kama watoto walifanyiwa hivyo hata nyumbani wangegundua mapema mtumzima ukibikiriwa maumivu lazima itakuwa mtoto na je mwalimu aliewapeleka mbona aliachiwa huru. Tumuachie mungu atuhukumie

    ReplyDelete
  6. Acheni usenge wangekuwa watoto we nu mngekubali?

    ReplyDelete
  7. Malipo ni duniani ipo siku ukweli utajulikana. Haiwezekani kwa mila za Africa baba na watoto wabake wakiwa wote huo sidhani kama ni ukweli. Mungu yungu kwa mwenye kusubiri Inshaa Allah ipo siku ukweli utajukikana hata kama mbele ya haki. Tukumbuke Dunia tunaopita tu
    nguza tupo pamoja ktk sala za kila siku. Walifugwa hata manabii kwa kedi za uongo mwishoni wakishinda na wakawa watawala. Omba mungu yatakwisha

    ReplyDelete
  8. Huyo marando hana lolote kpewa maelekezo huyo kesi ilikuwa ya kupachikwa t2 na kigogo

    ReplyDelete
  9. Nana junior,WA kwanza kucomment,vingreza vyako tu eti seccesing,ukimaanisha succeeding.fyuuu div 5

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaa n balaa....very poor english!

      Delete
  10. Kuma la mamaako we msenge unaesapoti babu seya kabaka,au alikubaka na ww nn? Acha umatako kuma ww,hao watu hawana hatia kisa alimla mke wa kigogo mmoja ndio wakamshikilia ila naamini mungu yupo nyuma yao watatoka kwa dua zetu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matusi hayajengi ndugu yangu...zaidi unazidisha dhambi kwa kutukana bure...huna dini ww...

      Delete
  11. Babu seya na mwanae hana kosa kabisa, kipindi wako ndani ya game ya mziki, mke wa mshua alijipendekeza, mzee akala mzigo so mshua alipojua hasira zake ndo zinazomtesa babu seya hadi leo, ila hakuna marefu yasio ncha, watatoka tu eee mungu wakumbuke watu hawa wasio nahatia

    ReplyDelete
  12. HAO WALIOBAKWA SI WAONESHWE KWA KUFUNIKA VITAA MACHO?

    ReplyDelete
  13. usenge wa jakaya na wivu wake wa mapenz na amaa ya kila kuma nono anayoionaaa anajifanya yy ana uboo kuliko wanaume wengne ngoja madaraaka ayaachie atajuutaaa....atakoma msenge huyoo kisa mke wake alikua mpenz wa babu seya ss inamhusu nini na alishamwoa tyr kwa nini ss asiwaachie km ni kuma ameshamiri hana mpya rais mkiaaa siku akifa atajibu kwa mungu aliyowafanyia watu..apate hata ajar huyo kikwete wenu na hata asipopata ajar tyr ana virus so atakufa tuu na kina babu seya wataachiwa huru mana atakua anatumikia kifungo chake kaburin......

    ReplyDelete
    Replies
    1. alokwambia malipo kaburini nani?malipo ni hapahapa kama huyo mungu yupo.kwa mimi sielewi)ila we fala unaesema my english poor..fuck you!!!!!! na huyo nguza atatoka atakuja kutuimbia tufurahiiiii...kama kubaka kapuya alinibaka mimi mwenyewe nikiwa na mwaka 1.na miezi 2.sasa msilete shobo,kubakwa kubakwa!!!!.kufa kufa.wewe unafikiri unaweza kustopisha watu kubakana,

      Delete
  14. hata uwe na mamlaka gani duniani..mbinguni 2takuwa sawa...2nafanyiana ubaya kisa m2 una power...2napita 2 jamani....KESHO KWA MUNGU KUNA MOTO.

    ReplyDelete
  15. Jaman tuwen wastaarab.na jueni matumiz ya simu,usimpoint mtu direct unasema,please!!! Na matusi c jambo la kher au kutoa lugha chafu,haina haja kutukana,tuwen makin watanzania wenzangu.

    ReplyDelete
  16. Kila kitu kina mwanzo na mwisho mwisho ukifika nguza atakuwa uraian mungu atawasaidia

    ReplyDelete
  17. Jaman msinuandike vbaya rais wetu jieshimun na nch iii mnaropoka kwa mambo ambayo amuyajui mama salma wala ana mahusiano kabisa na nguza kwanza ata mziki aujui yule mama na huyo mwanamke wanaesemaga nguza anagombea na seya wala sie mama salma ni kimada cha nje na wala awagombei jakaya si mshamba wa modem kwanza wake zake wazur kesi kwel ipo na ile wametaka kukomoa familia nzima lkn watoto wangewatoa tu akabk yeye maana walitaka kujumu nchi yao kongo na vikao vilikuwa vinafanyika sinza kwa seya so wangerud kwao wangewauwa bora walivyotengenezewa kesi ya kubaka na ndo maan muislam ww yulea baba mtu al the time anacheka koz kisa anakijua na aliwah kuomba mwanae atoke abaki yeye we uliona wp kesi ya kubaka mwalimu achiwe na wabakaji wengine wachiwe mairopike na msitukane mmevuka mipaka adi kwa rais Jaman samanini tusije fungiwa sosho netwerk bure jakaya muislam

    ReplyDelete
  18. acheni kumdhalilisha raisi wa nchi nyie wakoswa kazi. mmetumwa na cdm eti! mshindwe na mlegee. raisi wetu anawaza maendeleo hawazii huo ujinga mnaouongelea. kuweni na adabu, mdomo uliponza kichwa!

    ReplyDelete
  19. Mmh cna la kusema

    ReplyDelete

Top Post Ad