CHRIS BROWN AZIDI KUCHANGANYIKIWA HALI WALA HALALI HUKO JELA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja.
Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown yupo kwenye hali mbaya ndani ya gereza hilo kiasi kwamba hali chakula,usiku halali,anaongea peke yake na maisha ya humo ndani ni magumu kwake.
Wanaendelea kuripoti kwamba Chris anakunywa maji tu na wakati mwingine anapewa juisi ya machungwa.Huwa anapewa sandwich kwenye chombo kibovu na Chris Brown huwa anakataa hiyo sandwich.
Chris bado anakabiliwa na mashtaka mengine ambayo ni kumpiga kijana mmoja na kama kesi hiyo ikimuendea vibaya anaweza kwenda jela miaka 4.
Taarifa zinazotoka hivi sasa ni kwamba mwanasheria wa Chris Brown anafanya juhudi zote za kumlipa kijana huyo ili mteja wake akimaliza mwezi mmoja wa jela asiwe na kesi yoyote.
Mwezi huu mmoja anaotumikia Chris ni kutokana na jaji kumtaka akae rehab baada ya kuvunja sheria alizowekewa baada ya kesi ya Rihanna. Lakini pia akavunja sheria za Rehab na kujikuta anafungwa kwa mwezi mmoja.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamaa nantumia cocaine,sasa huko jela ndo patamuumbua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndo atajua

      Delete
    2. We nana unafilwa nini hyo cocaine umemnunulia wewe ama ina bwabwja tu....ntakutomba hilo kundh lako ukiendelea kuzushia watu huo usenge wako...malaya ww..

      Delete
  2. thats how they go down,baada yakutengana na illumunati

    ReplyDelete
    Replies
    1. hamna illuminate wewe..ni drugs tu jamaa anatumia amekaa jela afew days tayari kashabadilika uso,na alimfundisha rihanna kutumia ndo maana rihanna kwa sigara,,ndo maana anampenda pia,,.ila rihanna nahisi aliacha aisipokuwa najiweka sigarani,,

      Delete
  3. Alikuwa anakimbilia jela kubokolewa bishoo huyo! Ana wateja wake huy.

    ReplyDelete

Top Post Ad