CHRISS BROWN AZIDI KUPATA MAJANGA..MAHAKAMA YAAMURU ARUDISHWE REHAB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kukaa rehab kwa ajili ya anger management na msimamizi wa rehab hiyo kusema kwamba Chris Brown ameonyesha improvement, bado jaji wa kesi hiyo hakuridhika na ripoti na kumrudisha Chris Brown rehab kwa miezi miwili zaidi.
Chris Brown mwenye miaka 24 baada ya maamuzi hayo ya mahakama ali-tweet “Never really goes the way u plan. #LIFE”.

Chris Brown anategemea kutoa The X album tarehe 5 mwezi 5 lakini wasiwasi unakuja kama muda huo wa miezi miwili utaathiri utoaji wa album hiyo ambayo ilitakiwa kutoka tangu mwaka jana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna ugonjwa mbaya kama kuwa bipolar! Chris anasumbuliwa na bipolar disorder yaani sometimes yes sometimes inategemea. I'm glad mahakama imeamuru arudishwe rehab

    ReplyDelete
  2. Pole yake chriss

    ReplyDelete
  3. Ndio akome kuvuta unga angalia vishavu vyake nyooo

    ReplyDelete

Top Post Ad