DIAMOND ACHEFUA WAISLAM..ACHEZA NGOLOLO MAULIDINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Hamida Hassan na Shakor Jongo

KIJOGOO wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewachefua waumini wenzake wa Kiislamu baada ya kutupia swaga za staili ya Ngololo kwenye shughuli ya Maulidi.
Tukio hilo lililowagusa waumini hao lilitokea juzikati ambapo kulifanyika Maulidi ya kumtoa nje mtoto wa dansa wake aitwaye Moze Lyobo maeneo ya Mbagala, jijini Dar.

Awali watu waliokuwepo eneo hilo walifurahia uwepo wake lakini kadiri walivyoaanza kugundua kasoro ndipo mambo yalipoanza kuharibika.

“Watu hawakumshtukia, lakini walipomkagua kwa makini na kugundua licha ya kuvaa mavazi ya
Kiislamu ndani yake ana macheni ya dhahabu shingoni kitu ambacho dini hairuhusu,” kilidai
chanzo baada ya mwandishi wetu kufika eneo la tukio na kukuta shughuli imeisha.

Kama hiyo haitoshi, ikaelezwa kuwa Diamond alizidi kuchafua hali ya hewa baada ya kucheza
staili ya Ngololo kwenye kaswida kitu ambacho kiliwashangaza wengi.

“Mwanzo alianza vizuri lakini kadiri dufu lilivyokuwa linakolea, akawa anajisahau na kucheza
Ngololo, kimsingi aliwaboa baadhi ya Waislamu waliokuwa pale,” alisema shuhuda wetu.
Hata hivyo paparazi wetu alitonywa kuwa, baada ya kucheza sana, Diamond alichoka huku jasho
likimchuruzika ambapo aliamua kupumzika na kuwaacha wengine wakiendelea.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyie acheni kudiss af hata udaku ni wambea ad bas

    ReplyDelete
  2. sasa walitaka achezaje!!!!wote ni uchezaji tu.

    ReplyDelete
  3. Sasa yeye avae dhahabu na wema avae pia nani mwanamke kati? Ndomana uislam hauruhusu japo wengi wanavaa tu. Mbona zipo silver za thamani kubwa tu? Mi mwenywewe ananibowa kwakweli! Daimond dhahabu muachiye wema afu unaanzaje kucheza ngololo kwenye kaswida jamaniiiii

    ReplyDelete
  4. Domo wachezeche kila sehemu mpaka waelewe nn maana ya ngololo.

    ReplyDelete
  5. We msenge kama huna mada za msingi hacha kupost habar huyu msenge, kila siku yeye hanalolote au nawewe bwabwa nn

    ReplyDelete
  6. Mwacheni diamond mbona huyo mwamke yupo kichwa wazibele ya umati wa watu uisilamu unaruhusu?!basi kama kuchefua waisilam huyo mwanamke asiyekuwa na haya

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMENENA MDAU SWADAKTAAAAAA!!!!
      UKO MBALI NA MIMI NINGEKUPA TANO*****

      Delete
  7. Hii Ni dini jamani kama huna elimu ya kuchangia bora utulie...Diamond kafanya makosa na huyo mwanamke kafanya makosa..Wote wanatakiwa kutambua dini hii haitaniwi ukifanya mzaa Inaweza ikala kwako....

    ReplyDelete
  8. msela sehemu nyingine kausha

    ReplyDelete

Top Post Ad