DIAMOND ANYANG'ANYWA GARI NA CHIEF KIUMBE...LAWEKWA YADI KUUZWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mussa Mateja na Shakoor Jongo

LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei.
Gari hilo linalomilikiwa na pedeshee maarufu Bongo, Mohammed Kiumbe ‘Chief Kiumbe’ limewekwa sokoni baada ya staa huyo kuchemsha kutoa fedha za kulinunua pamoja na kupewa muda wa kufanya hivyo.

Awali, iliripotiwa kuwa gari hilo ni mali ya Diamond ambaye alikuwa akitamba nalo kila pembe ya Jiji la Dar huku akijinasibu kwamba amelishalipa fedha za kutosha kwa ‘Big Boss’, Chief Kiumbe.

Wengi waliamini na kumweka Diamond au Sukari ya Warembo katika matawi ya juu kutokana na kumiliki gari hilo lenye thamani kubwa na lililojaa vikorombwezo vingi ndani yake.

Picha za Diamond akiwa ndani ya gari hilo zilionekana kwenye magazeti huku akikaririwa kwamba analimiliki kihalali gari hilo aina ya Toyota Landcruiser V8 lenye thamani ya shilingi milioni mia moja na laki moja (100,100,000).

Siku chache zilizopita, Chief Kiumbe alimnyang’anya Diamond gari hilo kwa kile kilichodaiwa kuwa staa huyo alishindwa kutoa ‘mpunga’ wa kulinunua pamoja na kukaa nalo kwa muda mrefu.
Baada ya hapo gari hilo likapotea machoni mwa watu kwa kutojulikana lilipokuwa limefichwa ingawaje ilidaiwa kuwa Chief Kiumbe alikuwa ameliweka stoo.

Mapaparazi wa Risasi Mchanganyiko walilitafuta gari hilo kwa udi na uvumba, ndipo walipobaini kwamba  lilikuwa limewekwa sokoni katika yadi moja iliyopo maeneo ya Kijitonyama, Dar likipigwa bei.
Waandishi wetu walifika katika yadi hiyo na kujifanya wanunuzi na kuambiwa kuwa gari hilo lilimshinda Diamond.
“Hili gari lina vitu vingi vizuri, ukiwa na ‘sensa’ ndipo unapoweza kuondoka nalo kwa sababu halitumii funguo, bila hivyo huwezi, Diamond ameshindwa kulinunua,” alisema jamaa aliyekutwa katika yadi hiyo. 
Waandishi hao walitajiwa bei na kupewa nafasi ya kulikagua gari hilo kila kona, hatimaye waliondoka ndani ya yadi hiyo wakiahidi kurudi na mkwanja ili kufanya kile kilichomshinda Sukari ya Warembo.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha sinema ie endelee!!!kama anapiga show za milion 50 per day atashindwaje kulipa gari? Labda kalichoka anataka anunue Range chezea Nasibu weweee!! Kila siku magazetini.

    ReplyDelete
  2. Piqa keleleeeeeeeeeeeeeeeeee, sifa tu kumbe huna lolote, toa tigo kwa chief akuachie, msenge kweli we mtoto, starehe gharama dogo utashikiwa ukuta

    ReplyDelete
  3. AMA kweliii ndege wafananao uruka Pamoja,wema na diamond Tabia zao zinafanana.mafala wakubwaaaaaa hao.

    ReplyDelete
  4. mgari wote huo wa nini,au ndo kupenda mashauzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!sura kama andazi.

    ReplyDelete
  5. kajishutukia kununua si kazi kazi maintanance,swimming pool ingesimama chezea v8!

    ReplyDelete
  6. kajishutukia kununua si kazi kazi maintanance,swimming pool ingesimama chezea v8!

    ReplyDelete
  7. kajishutukia kununua si kazi kazi maintanance,swimming pool ingesimama chezea v8!

    ReplyDelete
  8. Kapigwa Nyuma,ili Auze Sura,sasa Kachokwa Atapewa Mwingine

    ReplyDelete
  9. chief si alijitapa sana kuwa kampa tu iweje leo aseme kamuuzia kashindwa kununua.majigambo mengine

    ReplyDelete
  10. Chief kiumbe mbona usomeki?wewe kwa Mdomo wako ulisema umempa swahiba wako gari la bureee,Leo umebadilika eti ameshindwa kununua?

    ReplyDelete
  11. mambo hayo wawaachie wakina justin bieber na kina usher wanapewa mavitu makubwa na super fans zao sasa huyo diamond amekiimba kitu gani mpk apewe gari la M100 au kwa mkundu gani aliokuwa nao mpk chief amkaze ampe gari hahahahahahahah nicheke mie chief wa mchezo angeweza ila u never know labda diamond kakataa maana chief kwa kupenda mikundu ya wasanii sisemi

    ReplyDelete

Top Post Ad