DIAMOND ASHIKA NUMBER MOJA TOP TEN CHAT YA NYIMBO ZA AFRICA..TRACE TV

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika Mashariki alieshika nafasi ya kwanza kwenye Top10.
Siku zote nilizoea kuona Wasouth Africa na Wanigeria ndio wanaishika namba 1 ila sasa Mtanzania Diamond ameivunja hiyo rekodi kupitia single yake ya ‘number 1 rmx’ ambayo kamshirikisha Mnigeria Davido
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BIG UP DIAMOND. WEWE NI NOUMERRRRRR

    ReplyDelete
  2. Kila la kheri. Mwenyezi mungu azidi kukuongoza. Zidisha ibada na kumwamini utafika mbali zaidi

    ReplyDelete
  3. Tumpongeze, ila ameacha kile kiza kufanya wimbo huo udhaniwe na kuwa ni wa Davido kwa vile ndiye aliyetamba muda mwingi na kumwacha Diamand akiwa kama ameshirikishwa. Inabidi safari nyingine Diamond wetu ajinyanue kusudi aruke peke yake siyo kuonekana kama amebebwa wakati utunzi ni wake. Halafu wakati nimeangalia comment kuhusu wimbo huo kwenye channel hiyo kuna watu wengi walioonyesha kuwa ni wimbo wa kinaijeria. !!

    ReplyDelete
  4. Huu wimbo wa diamond ni mzuri sana nahis hata kabla ya kumshirikisha davido ulikua ni wa revo hzo,sema tatizo mi wasanii wa bongo kulala na kufikila Kurogana tu kila siku nna uhakika kma diamond angeangaika kuupeleka kwenye vituo mbli mbli angeshafika mbali sana.nna uhakika na hii bahati ya ngoma yake kua namba 1 ni kwa sababu yupo davido na inagongwa sana nigeria...i always envy vanessa mdee the chick is tight mwaka mmoja tu kwenye game lakin intrnationally knwn..tukifanya kazi kwa bidii tutafika na sio kurogana tu kma wanavofanya wasanii na wanamichezo wa kibongo.

    ReplyDelete
  5. hongera zake kujifanya kidume kumpiga wema jana kama mbwa! mwisho wake mmbaya shauri zake.

    ReplyDelete

Top Post Ad