DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka Ghana na Nigeria wanamtafuta kufanya nae Collabo ....Diamond Amehabarisha kuwa siku si nyingi ataelekea pande hizo za Nigeria kufanya Video mpya ambayo bado hajasema ni wimbo gani, Pia atapitia Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
-Regina Iwole
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeye aseme anaenda vizia harusi ingine ya kina p square mxiiiu

    ReplyDelete
  2. mdau hapo juu usionyeshe wivu nikusema hana uwezo wakwenda mpaka akavizie harusi kunjua roho usiwe hivyo wezako watakucheka.

    ReplyDelete
  3. Utakufa na roho yako mbaya na watu kama hao huwa mwenyezimungu anawazibia milango ya rizki. Sasa kama anaenda kuvizia sherehe wewe inakuwasha nini? Mavi ya nguluwe weeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heheee nyoko wewe

      Delete
    2. Ww. Hayo maneno 2 waache kumtafta wizzy wahangaike na huyo nyaka domo?

      Delete
  4. Wachaa Muv iendeleee..DAIWE miaka 900

    ReplyDelete
  5. bora akaimbe nawanigeria ila waghana simuadvise hata kigodo.Na wewe hapo juu si uende ukavizie harusi.nyooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  6. Jaman wa2 mnao mwita diamond domo mnaniudhi kwel nyinyi mnafikiri alipenda kuwa hivo na msimkose yeye basi maana hajajiumba mkosoeni Mungu maana yeye ndie aliemuumba

    ReplyDelete
  7. Alafu wabongo acheni wivu wa kijinga sio lazima uponde mpeni kijana hongera zake and if u think huna comment nzuri u can juc skip his page lather than kuongea negative things

    ReplyDelete
  8. Wanaoponda wote wasenge majichumvi

    ReplyDelete
  9. Asilete mengine sababu ule wakati alipokuwa Nigeria mwisho ilikuwa na aibu kimpango *kama wajua tukio gani lilitoka akiwa huko*

    ReplyDelete
  10. Piga kaz domo wasikubabaishe

    ReplyDelete
  11. Jamani ule mdomo anautumia vizuri acheni tu! Na siongelei kuimba!....lol

    ReplyDelete

Top Post Ad