DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA DATE NA MWANASIASA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.

Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?

Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My Husband, My Forever Favorite Man. My sugar My sweetie…My heart .. my better and half, My life….My Boifriend..i call him dat, My Boyfriend.

Swali : Unampenda Crazy GK?

Diva: with all my heart …like never before…… never knew kama kuna Penzi kama hili before. holding it so close..dearly.

Swali : Kabla ya kuwa na GK ulikua na nani?

Diva : Gosh ..but well ermmm …… dated this Politician kwa muda mrefu sana, miaka nearly 4 years … he was the only one., don’t wanna put his name on Public tho….until i met My King..

Swali : Kwanini Mliaachana na huyo Mwanasiasa?

Diva : misunderstanding zilizidi, i don’t really wanna talk about it My focus is My king now….My baby, My lover ..My Gk.

Swali : Uliwahi kuwa katika mahusiano na Brother from 254 Kenya Prezoo, mahusiano yenu yaliishia vipi?

Diva : Prezoo na mimi tulikutana wakati ana interview, so baada ya hapo tukawa tuna chat kwa simu, sikupenda alivyofanya interview kwenye XXL ya Clouds fm You heard…akasema eti anataka kunioa, nilikasirika sana nakumbuka nilimuuliza akajibu eti ameongelea feeling zake, lakini tuliishia kuwa na long distance relationship, aliingia kwenye moyo wangu kwasababu nilikua nimegombana na boy friend wangu mwanasiasa, lakini badae nikaona niachane na Prezoo, ila hatujawahi kufanya any sex . we touched, we kissed, we had our love story and ikaisha, to me dats normal, …. hakukuwa na mahusiano ya mahitaji ya kimwili baina yetu, sikuwa ready for dat… it was just a fling. ila Prezzo such a nice guy. No regrets, gladly i met him in real life, and we good tunaongea tunawasiliana, sio ugomvi kuachana. i still love his music, such a fan of him.

Swali: Mara ya kwanza kukutana Na GK na ilikuaje?

Diva : Well Mara ya kwanza kukutana na Gk ilikua ni mwaka 2013, siku ambayo GK alikuja kwenye kipindi changu kwa ajili ya Interview, kabla ya hapo nilikua namwona kwenye Music Videos only but hakunivutia at the first place, i was happy met The Music Mesiah tho. music veteran, gladly met the Legendary,The King.

Swali : Ulijiskiaje baada ya kumwona?

Diva : Nilifurahi, tulisalimiana, kama navyokutana na wasanii wengine, alikua anaonekana kama nilivyokua namwona kwenye TV, na yeye anakaniambia Jinsi anavyoniona ni tofauti na nilivyokua anafikiria, alidhani mimi ni mdada mtu mzima, na alifikiria mimi ni msichana mwenye kuringa sanaaa, na Sister Du Sanaaa, baadae aliniambia eti siku hiyo hiyo ya kwanza akanipenda (Love at First Sight lol)

Swali : Interview Uliionaje?
Nilikua na mhoji Legendary, ni kama Kufanya Interview na Jay Z, na baada ya mahojiano hayo nilipata my credits as usual. it was BOOM..Kick ass show.

Swali : Ulimuuliza maswali juu ya mahusiano yake yaliyopita?

Diva : Ndio nilimuuliza Una Girlfriend? Akajibu ninae, nikamuuliza ndo huyo mzungu ninaemskia? Akanijibu umejuaje? Then akasema kweli ana girlfriend Mzungu na vingine nini nini ……………..

Swali : baada ya Siku hiyo mawasiliano yenu yalikuaje?

Diva : tulikua tuna chat kama watanzania wa kawaida, Good morning My Diva. how are you…hizo yaan…ila kuna siku nilienda kula kwa Aunt yangu Upanga, kwenye Chatting nikamwambia nipo Upanga akaniuliza upo maeneo gani, nikamjibu akaja na baadae nikatembelea Kwao the same day we Kissed lakini, it was a good kiss, a kiss to remember… btw i needed dat kiss..when he kissed me man…. it was like magic. kwasababu nilikua na Boy friend mtu mzima kidogo, just experienced the difference with the finest… hehee…

Swali : Crazy GK Aliwezaje kuzibamba hisia zako?

Diva : Aliniletea Vannila Ice cream ,gosh i so love Vanilla Ice cream, My favorite you know…(cinderela life Story) that means kuna vitu mimi napenda ambavyo wanaume wengi hawawezi kufikiria, wanaume wengi wakinifata wanahisi napenda vitu expensive lakini mimi napenda vitu vya watoto, I need a man ambae atani treat kama mtoto, even on valentines..had valentines to remember. dats my baby.

Swali : Chemistry yenu iko vp, mnaiva sana ama?

Diva : He is nice and we connect….. enjoying the moment with My Special Man, My king, My Gk


Swali: Any Future Plans?
Diva : Mipango ni kuwa na furaha zaidi maishani, I love him, we love each Other, we just wanna be happy and yes tunataka kuzaa mtoto… coz i need kuwa na mtoto this 2014 yaani. we agreed tutamuita Hailey Presley Montana Kaihula. a baby boy pliz lol, thanks
Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukiskia mtu mzima mwenye akili za kitoto ndo huyu we kila siku unatongozwa na kubusiwa na watu waliokuja mara ya kwanza kufanya mahojiano kwenye kipindi chako limtu hulijui siku mbili tatu wanakutomba kweli zito mtu mzima alikuwa hamalizi nyege mshindo zako unanyege sana wewe binti vanila icecream ushapanua mapaja na unakazi nimesahau mhaya hana haya mxiiiiuuuu umalaya tuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. kila mtu unamlove so much na nn hata prezoo ilikuwa hivyo hivyo ulimsifia mpaka basi na GK hivyo hivyo huna hata moja wewe unatutia aibu wanawake wenzio hujui thamani ya mwanamke hata kidogo kujianika anika tu unafikiri sifa, kajambe huko huna mpya kabisa na bora ulivyotolewa kwenye hivho kipindi na cluds fm maana ulikuwa unatia aibu kla unaemuhuji mpaka umtongoze nyoo shame on u badilika na ukimwi ndo saizi yako wewe

      Delete
  2. anawazazi kweli huyo Diva. tumechoka na story zake ni wanaume kila kukicha. acha hizo unajirahisha sana kwa wanaume. kila mara kutongoza na kuachwa we bado mdogo tulia pmba
    mungu akupe mume aliyekuandikia umalaya hauna maana unajichalaza bure

    ReplyDelete
  3. Huyu demu ni msenge balaa bitch ass

    ReplyDelete
  4. Usione unatongozwa sana ukadhan we ni mzur sana lol! Noooooo! Yaan inawezekana ni jinsi unavyo jirahisisha ndo maana wanakufuatafuata

    ReplyDelete
  5. huyo demu ni ass fucker....so atadate na watu wangapi ambao anawafanyia interview,,,na hiyo ni bad experience kwa mwaname atakaekuwa nao...na anapenda sana kuelezea uhusiano wake si akae kimya tu...Old bitch slut.

    ReplyDelete
  6. atatokea mwanamuziki mwingine atamfanyia interview na tutayasoma haya tena. hongera diva mwanadada unayemalizwa kwa ice cream duh! haya neeeeeeeeext!

    ReplyDelete
  7. na hicho kingereza chake basi atusemi.......

    ReplyDelete
  8. Duuu kweli huyo ndio Diva its was so nice interview naona mdada kafunguka haswaaa kutokana na hisia i like dat interview!!!

    ReplyDelete
  9. Don't hate elevate. tuwaache wafanye yao.

    ReplyDelete
  10. me ntamtongoza,najua atakubal af namchoma moto kakuma kake ili aache ujinga.

    ReplyDelete
  11. Anakula mahaala pake kazi!

    ReplyDelete
  12. ivi wanaume hata wasome vipi hua hawaongei hivi viswangilishi vyenu?au nyie mnaijiita masister duu neo mnajua sana English?

    ReplyDelete

Top Post Ad