DR BENSON BANNA APAZA SAUTI "CCM IMEJIPANGA KUKWAMISHA ZOEZI LA KATIBA MPYA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Dr Benson Banna ambaye kwa mara nyingi uchambuzi wake umekuwa ukitiliwa shaka haswa kwa kuonekana kuegemea CCM na kuitetea serikali kwa kila jambo, leo kupitia kipindi cha Nipashe cha redio one asubuhi hii ameilaani CCM kwa yanayoendelea bungeni kwa kusema ndio kikundi pekee ambacho kinaonekana kimejipanga kukwamisha zoezi la kupata katiba mpya.

" CCM ni chama tawala, unapokuwa kiongozi inabidi uonyeshe mfano, lakini ukiangalia yanayoendelea ni wazi ccm ndio wanavuruga mchakato wa kupata katiba, hata kuandaa mwenyekiti sio kitu kilichopaswa kufanywa na ccm. Ukiangalia utaona ccm wanapinga hata mambo yasiyo na maana, kitu kinachotia shaka sana." Alisema Banna.

Banna akiongea kwa masikitiko, amelaani yanayofanywa na ccm, na kusema wana agenda yao ya siri lazima waache ukweli uprevail
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dr wamekutema kwenye payroll yao magamba.yasije yakakukuta yaliyomsibu prof baregu au kitila. kila analysis zako na dr bernadetta killian ni kusifia magamba. leo imekuwaje. kimenuka mbaaayaaaa.

    ReplyDelete
  2. ccm washenzi tu

    ReplyDelete
  3. Mshenzi ni ww pumbavu mkubwa,huna akili kudandia tu magari kwa mbele....Ccm ndio mpango mzm ww

    ReplyDelete
  4. Baba wataifa nyelere uko wapi! taifa linangamia

    ReplyDelete
  5. mavi ya kuku ccm

    ReplyDelete
  6. Warudishe azimio la arusha kuna maneno aliyoyaacha mwalimu nyerere yanatosha kua katiba tosha. Haina haja ya wajumbe kupigizana kelele huko bungeni

    ReplyDelete
  7. Tumevurugwa!!???!!!

    ReplyDelete
  8. Wote mulio tukana hapo ju ni ma ccm makumatu nyie munatombwa nyuma.chadema hoyeeeeeeeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad