FLORA LYMO AMWAGIA SIFA KEDE KEDE MANGE KIMAMBI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Flora Lymo ameamua kufunguka kwenye Blog yake kuhusu Mange Kimambi na Haya ndio Aliyoandika:

"Mama na Mwana'' Yani hii ndiyo sababu sana sana nikamuweka Mange kwenye hii Blog yenu ya maukweli matupu leo'Flora Lyimo Fashion Police Blog' Yani Im so PROUD of you Mange'' kwa kuweza kutokumkataa mwanao kwa sababu umeolewa na Mzungu au Mwanaume Mwengine wa aina yoyote aliekukuta wewe ukiwa na Mwanao au wanao ''yani Wanawake /Dada wengi huwakataa watoto wao kisa ni wamempata Mzungu au Mme wa kuwaowa'' Why do that jamani ?''Just take a look at Mange hapa na mwanae wanavyopendezeana yani is the Best think you can ever do to your Child'' Love them hata kama umempata Mme wa dhahabu au Gold'' Please Igeni Mfano wa Mange hapa'' Be Bless Mange na familia yako '' Yani huwa ni lazima ukiwa unakizuri ninachokijua Moyoni mwangu nitakisema na vile vile kibaya'' hiyo ndiyo habari ya mujini always say the truth''

Sasa hebu ona Jamani wanavyopendeeana ,alafu wewe uwe umemkana mwanao unajilia maraha yako mwenyewe na tena bila hata haya unazaa na watoto wengine na huku ukiwakataa wanao wengine''yani wenyewe tabia hizo wacheni mara moja please'' is not nice ,just take a look of hii Familia ya our Star Mange Kimambi na Familia yake''so lovely ''Yani naona aisee hata Mimi my Birthday mwaka huu niifanye hivi ''Just me and my Family ''wacha nijipange fasta fasta maana yakaribiaaaaaa''Ruwa Mangi'' Anyway''Hope nyie mnao wakana watoto wenu mnaisoma hii na kumuiga Mange Kimambi hapa''
Again Happy Birtday and wishing you All the Best utuzalie Mtoto wetu salama'' 
Flora Lyimo Fashion Police Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

83 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole flora unamsifia mtu ambaye alikunanga kwenye blog yake na matusi kedekede ya wafuasi wake na pia sijaona jipya kamchukua mwanae baada ya kuambiwa kamtupa na wabaya wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio wewe uliosema mange anamvalisha mtoto wake ma wig Kama Maiti

      Delete
    2. na mchangiaji mkuu wakati wa kumnanga siulikua wewe nyooo...imekuumaaeeh heheheh dongo lako hilo,,nawe ukamchukue mwanao uliemwacha mwanalumango kwa bibi yake nyoooo

      Delete
    3. Flora wewe ndio unasemaga mtoto wa mange m baya Kama waziri wasira na umesema watoto wa frank gonga waziri ( na gladys maneno ) na Bhoke ni house girl kwa Huyo Mzungu .Zenat eti kaondoka kwa mange kisa hawamlipi mshahara na habari hizi umetoa kwa lulu .

      Delete
  2. Eti naskia jack cliff kauawa china

    ReplyDelete
    Replies
    1. si kafungiwa macau.macau pia wananyonga au?

      Delete
  3. WAZIRI WASIRA lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  4. Topic na jac vitu tofauti .Read the title

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna cha kujibu funga domo lako nyauba wee

      Delete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. Wote malayatu hakuna jipya fyuuuuuuu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bedui bado kalala nicheke na msg za huyu mama.

      Delete
  7. mange aache kumvalisha mtoto manywele(weaving) bado mdogo,amwache nakumpaka lightening lotion,namuona kanga'aa tofauti na mwanzo.wazungu (wanaume)akili zao ziko mkunduni si nzuri subiri alale nae ndo utaelewa,nishakupa warning.!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange Narcisstic personality disorder .Borderline kwa hiyo ni mumuache .Manges brain believe she is God and it's all about her me me me mentality .Huyo bhoke ni extension of her not bhoke Kama mtu mwingine .Its all about her Huyo mdogo wa kiume 3 years old Ana tala awe model .Mange is a sick girl seriously na she needs medication not people .Na mume wake ni enabler he enables all this na Huyo Frank gonga mumuache na uvivu wake Huyo mtoto bhoke ashaharibika na frank kumuachia mtoto mange is amazing

      Delete
    2. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
    3. Tema mate chini hujafa hujaumbuka huyo ni mtoto tu hana makosa ata kama mama Humpendi

      Delete
    4. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  8. Nakweli bhoke kangaa ila goti limegoma plus ngoko hihihiiiiii

    ReplyDelete
  9. Jack Cliff amenyongwa huko China. Watanzania mkachukue maiti yenu.....acheni kuuza sembe...mxiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kauliwa na sindano ya sumu sio kunyongwa

      Delete
    2. ..hi taarifa ni ya ukweli ama vipi?

      Delete
    3. Jamani Jackie !

      Delete
  10. Jamani mange ndo nani kwani hapa mjini?afu hivi kuwaweka watoto wenu kwnye mitandao sifa au mnawataftia soko?

    ReplyDelete
    Replies
    1. She is psychotic mimi sina chochote against her ila sio mzima

      Delete
    2. Mange kimambi is a CYBER BULLY

      Delete
  11. Hatari! zaeni wenu km wa huyo dada.

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
    2. Unaanzaje kwa mfano,,na kizazi huna

      Delete
  12. Unajichosha bure kuma mako,,kuandika msg zaidi ya moja,,,kumsema mange,kama,umekosa kabisa la kufanya,,,muombe baba yako aliyekuzaa akutombe alafu ujetena utusimulie,,,,,,,kuma la mamako,,,popote ulipo,,,,,

    ReplyDelete
  13. Wabongo kwa mitusi,munakela sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toa umbea na wewe,,,munakela ndo nini mpaka unakosea kwa ushambenga,,andika MNAKERA

      Delete
  14. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  16. jamani mwacheni mangenita wa watu....kapendeza ,ila weaving kwa bhoke ni big No.amsuke lines au style yakitoto na mavazi pia.mijanaume inatamaa .dunia ngumu niulize mimi mwenzio,unaweza ukalia asubuhi,mchana.jioni yaani24/7,lakini unakuwa huna cha kufanya,

    ReplyDelete
  17. Nae flora lymo ni mnafik tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Flora lymo aende akueze machupi yake uko

      Delete
  18. Nawashangaa watu wanatokwa na povu kumsema dada wa watu, mnachukia kwa sababu anawapa makavu live na bado mange keep it up

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anachukiwa kwa roho yake mbaya na kubully watu kwenye kiblog chake mtu gani hana marafiki wote kagombana nao

      Delete
    2. Anagombana nao coz hawataki kuambiwa ukweli, mange hana habareeee

      Delete
    3. Nimesoma na Mange bunge primary mtoto mdogo alikuwa tayari na boyfriends.alihama Kwao akahamia kwa Mwanaume ninaongelea Huyo ni mtoto wa primary .Ndio maana nahisi anaona normal kumbalisha mwanae mawig .ata nikimuona Ana boyfriend sitoshangaa

      Delete
  19. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  20. We love you mangeeeeee hao ni very few haters ila endelea kuwachamba

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by a blog administrator.

      Delete
  21. comment nyingi umefuta.loh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa nini unafuta comments Google is owned na mmarekani is protected by free speech .

      Delete
  22. Forgiveness iz the atribute of strong......wamemaliza yao mnaona raha daily watu wagombane hunh....wamefanya yao nanyie fanyeni yenu.2829

    ReplyDelete
  23. Wewe udaku special acha unafiki watu wanapewa makavu yao unafuta usingetuwekea sasa huo utumbo wako shwain

    ReplyDelete
  24. mnacoment uchafu gan adi comments zenu zinatolewa? kuweni wastaarabu

    ReplyDelete
  25. Afu we bloger mbona wengine wakitukanwa aufuti mange unafuta unamuogopa eee au ndo shoga ndo maana nampendaga miss mipua manongi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani mnamambo lakini kweli Sintah kajaaliwa pua Jamani.

      Delete
    2. Mange anatikana watoto wa watu .na wakati wake sura yake kama tusi

      Delete
  26. Duuh inaelekea mange anawatia watu kiwewe kweli...ikitokea post inayomuhusu tu watu haooo wanamaliza nguvu zao zote kwake...aafu ye km haon vile...kwa blog yake humsikii akiwazungumzia haters mara kwa mar....ye na familia yake na tumbo lake kamaliza..asa kina shost mnavotomboka mishipa ya shingo imewasimama kumtukana asiye na tim na nyie....Mungu humbariki mwenye mapenz mema kwa wenzie ndo alivyo huyu dada....mapungufu aliyonayo ni madogo madogo ambayo kila mwanadam anayo....km tunaamin hakuna mwanadam mkamilifu basi hakuna sbbu ya kumyooshea kidole mange..mwenzenu ndo kashapewa akipenda yy aliyempa atamnyang'anya kwa wakat wake sio mnatakavo nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakuwa umekuja mjin juzi kwa magazeti ya shigongo poleeee haya kapewe matambara ya bure ukooo

      Delete
  27. Mange yupo juu ata mkimchukia haters nadhan ni pimbi sintah huyu aka dada wa kujiendekeza kwa wadada wa mjin lakn hawamtaki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Me nadhani ni mrs sembe huyu, Hahahahahaha

      Delete
    2. Ni kweli bhoke kafanana na wasira

      Delete
    3. Kwani siyo mtu? Nyooo

      Delete
    4. Mange Ana damu ya kichukiwa kwa Sababu mimi personal Nilimuonaga airport nilipomuona tu my spirit was not good she brings negative energy .havumi lakini yumo

      Delete
  28. au joyce kiria,aaaah!!!tatizo mange anasema ukweli...maskini we!huwe unadanganya kama mimi ndo watakupenda jitetee mwenyewe usijali kuhusu watu wengine.SEXFREE ndo iliyosababisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaha mdau umenifurahisha sana eti sexfree, huyu ni lazma mapua matatu sintah mwenye gundu la kukimbiwa na mashost mana ni mshamba afu maskini

      Delete
  29. I have nothing against Mange or her family but truth be told.. Nakubaliana na mdau aliyesema kuwa Mange is selfish na anyone or anything and every thing is there kwa faida yake. Huyo Bhoke maisha yake yote yatakuwa for the reason ya kumpa sifa mama mtu, kuanzia nguo anazovaa lazima ziwe zitakazompandisha chati mama. She will never have a life of her own the poor girl. Mange is a control freak. Labda nyie hamkuona lakini mimi nilinotice hakuna picha hata moja ambayo yule mzungu ameshika hata mkono yule Bhoke, yani anamshika mkewe, au mwanae lakini bora mkono auweke kwenye mguu wake mwenyewe kuliko kumshika yule motto. Mtoto yule unaona hana raha, she does not have a natural looking face na wazungu hawawezi kujipretend hata kidogo unaona kuna picha moja yani mwanaume amesogea pembeni kabisaaa it is so unnatural... Manage analazimisha mambo na amemchukua huyo motto na kumsifia hivyo kwa sababu watu walimsema so every thing she does ni kuprove a point au kuplease wapambe.. utachoka na utamfrustrate motto wako vibaya sana. Sasa I can predict kuwa picha atakazopiga tena atamlazimisha mume amkumbatie Bhoke nyie subirini mtaona... Mange you are so fake! and I feel sorry for you and it is not sustainable hata kidogo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. na mimi ndo kilichonipa wasiwasi...mtoto hayuko free na baba yake ndo maana nikasema hivyo..anagenerate kitu kibaya sana!!!!

      Delete
    2. Weraaaaaaa kimbizaaaaa mwana Wa kimambi,huko juuuuuu Ka mpera

      Delete
    3. Narcisstic borderline disorder ndio ulioelezes hapo juu.mange Yaani brain yake ni me me me me Yaani my heart goes out to her children Yaani Dah .Narcisstic personality destroys kids kwa Sababu mtoto anafanya vitu kwa pleasing a mother who is mentally ill.Whete is the father for god sake

      Delete
  30. Jamani mmekula ? Au munachambana tuu hapa.

    ReplyDelete
  31. hakuna mtoto mbaya duniani. na kama mbaya ni kwako kwa mzazi ni mzuri. na wote mnaosema mbaya onyesheni wenu au ndiyo wameishia hosp maana kuna wasichana mumtoa mimba mpka mayai yameisha. hosp mnashidwa kupita kwa mlivyo dhulumu roho za watoto wenu
    mangr hongera endelea kumpenda mtoto wakoooooo

    ReplyDelete
  32. Kweli mange ndo Habari ya mjini mama, mana umejaza mi comments balaa watu hawaoni posts zingine loh

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hana lolote kwake kule anabana coments wacha apewe ujumbe wake humu alafu wewe utakuwa wakuja mjini pita ivii..

      Delete
  33. Hahahahaha wabongo mbawivu, mtuache na mange wetu

    ReplyDelete
  34. Anawakimbiza nyie watoto wa shule kwa fekero life yake watoto wa mjini saa ngapi wana muda naye kachambeni mkalale team mavi mavi pyeeeeeee

    ReplyDelete
  35. mange ndo habari ya mjini mmetokwaje na mishipa ya shingo kwa kutukana looo mwacheni mwana wa mwenzenu tatizo wabongo huwa hatukubali ukweli , mtu yoyote akiwa msema kweli lazima jamii imuchukie , ndo maana hata marafiki hasa wa kike mnapakana mafuta kwa mgongo wa chupa kuitana majina lukuki lakini mioyo yetu imejaa chuki ,

    ReplyDelete
  36. Mange keep it up, achana na wenye chuki binafsi, wewe endelea na maisha yako tupo wengi tunaokupenda na wachache sana wanakuchukia

    ReplyDelete
  37. Mtajibeba, team mange for life

    ReplyDelete
  38. mange hongera ,wenye vijiba vya roho maninaaaa.....,mnataka mange amkane mtoto wake kama sinta???/na kuhusu mkorogo matazameni sinta ndo mtajua mpaka mkorogo nani ni sinta au bhoke .love u mange kimambi

    ReplyDelete
  39. Ata kama mtoto wake mbaya si wake kwan amewaomba mumsaidie kumlea? Superwoman congrats mama Bhokenzo

    ReplyDelete
  40. Hata kama alimtelekeza ndiyo keshajirekebisha na kumfuata. Igen nyie masister du uchware mkafate watoto wenu huko kwa bibi zao. Wa kwanza Sinta, fata mtoto wako huko siyo kujifanya hujazaa wakati unamtoto.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtoto alikuwa better na baba yake ( bibi) .

      Delete
  41. Huyo alomsifia mange ni mtu mmja umejaza micoment kibao kisa kile kiwig alichokupa na anakitaka hhhha chezea mpare mbahil ata akae ulaya vp bado bahili komeni kujipendekeza maraya nyie

    ReplyDelete
  42. Kanjubai mange sura imemparama hatari kama kosheo la vyombo

    ReplyDelete
  43. uyo mange wenu anatapatapa tu, mara ooh mama mkwe hataki tununue gari tubaki na kalekale kaduchi,mara ooh nimemiss range anasahau kuwa ilikuwa ya kazini ya bure hehehhee, mara ooh porche mavi subutuuuu,bado sana mtasheare ilo gari dogo hadi dunia igeuke chezea, na bado baby mpya sijui atamlaza wapi mana room moja kenzo, binti wasira na uyo kijacho itakuwa analazwa kwenye ile stroller aliyonunua mana hana space,wamefumuliwa watoto kama panya bila kuwa na mpangilio wa wapi watakaa hehehe analooo mbona

    ReplyDelete
  44. akiwekwa Mange umu ndani coment zaid ya 50 anamfunika hata Wema Sepetu lol. Ameshazoea kusemwa na kuchabwa kachabwa toka enzi za utaku itKuja kua udaku spesho? Anamapungufu yake lakin anamazuri pia ila ni mtu wa kujirekebisha. Kaamua kuish vile mwacheni jaman. Mwanae bhoke anampenda sanaa angekua hampendi asingekuaga anaenda kumuiba kwa bibi ake wakat yupo mabibo hostel hata kwenye harusi yake asingeonekana. Mwacheni bhoke wa watu makosa ya mama yake yasiwe adhabu yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad