HABARI KUHUSU PICHA ZA SNURA ZILIZOMUONESHA AKIWA KWA MGANGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache zilizopita kupitia blogs na website mbalimbali zilisambaa picha zilizokuwa zikimuonyesha Snura akiwa kwa Mganga wa Kienyeji akiwa kama anapatiwa maagizo na mganga,ambapo kwa picha hizo zipo baadhi kamshika jogoo zingine anaonekana yupo baharini anatupa kitu.
Maoni ya watu wengi na namna ya uandishi wa habari hiyo juu ya zile picha yalionesha Snura akifanya hivyo ili mambo yake yamnyookee,millardayo.com imepata picha hizo ambazo zilikua zimerekebishwa na kutolewa sehemu zinazoonyesha camera ambazo zilikua zikirekodi.
Hemed Kavu ‘Hk’ ambaye ndiye Meneja wa Snura amelisemea hilo>>’Kiukweli tumeshangazwa sana na picha hizo zilizosambazwa ambazo zime ‘editiwa’ na kutoa sehemu zinazoonyesha camera ili kumchafua msanii wangu aonekane anashiriki mambo ya kishirikina’
‘Ukweli wa zile picha ni baadhi ya vipande vya kwenye filamu ambayo Snura anaigiza sasa hivi na ni filamu ya Dotnata inaitwa Mlokole’.
Hizi ni baadhi ya picha zilizopo kwenye filamu hiyo.
IMG-20140320-WA0022
IMG-20140320-WA0020
IMG-20140320-WA0017
IMG-20140320-WA0016
IMG-20140320-WA0015
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mara aimbe ,mara aigize...which is which

    ReplyDelete
    Replies
    1. raha zenjii nsaidie kushangaa!!

      Delete
  2. Heee! Kwani muimbaji haweZi kuigiza Uko dunia gani wewe?

    ReplyDelete
  3. Huyu dada anapenda ushirikina mwanga mkubwa.

    ReplyDelete
  4. Wacha mkorogo dada unatisha kha

    ReplyDelete

Top Post Ad