HABARI NJEMA BONGO MOVIES HIZI HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hapo jana kampuni ya usambazaji na utengenezaji wa filamu nchini – Proin promotions walizindua kitu ambacho sisi kama wadau wa filamu Tanzania tunaona kuwa ni moja ya vitu vikubwa Zaidi kuweza kufanyika katika ukuzaji wa Sanaa yetu hapa nchini

Kupitia Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania - Joshua Moshi kampuni ya Proin Promotions iliweza kuzinduka kampeni yao kubwa inayokuja kufanyika hivi karibuni Tanzania nzima, kampeni waliyoipa jina la Tanzania Movie Talents ambayo lengo lake ni kusaka na kukuza vipaji vya wasanii wachanga ambao hawajawai kuonekana kwenye luninga kwa ajili ya kukuza na keundeleza vipaji vyao, shindano ambalo linalotarajia kuanza tarehe 1 Aprili 2014 kwa kuzungukia kanda mbalimbali za nchi ikiwemo Dar es salaam, mwanza, Dodoma, singida na Arusha. Ambapo mshindi kwa kwanza atajipatitia zawadi nono kabisa ya Tshs. MILLIONI HAMSINI (50) CASH!

Pamoja na uzinduzi huo pia kampuni hiyo kupitia kwa meneja masoko wake ndg. Evans Chandarua walitambulisha rasmi CD zao mpya zenye nembo na stika za TRA zenye lengo la kuwanufaisha wasanii kwani sasa CD zote zitakuwa zinauzwa kutokana na nakala za stika hizo kama inavyoonekana pichani

Kwa ufafanuzi zaid tutawaletea video za mahojiano na meneja masoko huyo wa kampuni ya prion promotion- Evans Chandarua pamoja na Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania - Joshua Moshi uwuasikie mwenyewe wakielezea Zaidi kuhusu shughuli hiyo nzima na shindano hilo jipya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kanumba Ameondoka na Usanii wote Wa Tanzania usitudanganye hapa! Hakuna ki2 hapa! Bora mjiunge wote muunde Kwaya ya kumwinua Mungu!!! Hela zote zimeondoka na Kanumba!!!!!!!' Hapo Ni kupoteza muda tu!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad