HATIMAYE MBUNGE WA CCM EAST AFRICA APINGANA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LAIVU BILA CHENGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shy-Rose Bhanji

About an hour ago

As a Citizen & Patriot of my Motherland Tanzania, I give due respect to the opinions of all Tanzanians on the current Constitution review. 

Much as convictions and beliefs of President JK (2govts) and Judge Warioba (3govts) are divergent, I will support the popular decision thru the coming National referendum. 

However, for now, my stand is for 3 Governments because of the following:
1. The life-span and relevance of the two-tier Govts has reached its end.
2. Complaints/grievances on Union issues have not been solved for mutual benefit.
3. A 3tier govt is the ultimate solution given the 2 reasons above. And to me this an evolution of the reality...

Kama Mtanzania na Mzalendo, ninaheshimu mtazamo/mawazo ya Watanzania wote. 

Licha ya kwamba mawazo ya Rais JK (Serikali 2) na Jaji Warioba (Serikali 3) yametofautiana, binafsi nitaunga mkono hoja/msimamo wa wengi kupitia kura za maoni za kitaifa. 

Hata hivyo kwa sasa bado ninaunga mkono muundo wa Serikali 3 kwasababu zifuatazo:

1. Mfumo wa Serikali 2 unaonekana kufikia kikomo na kutokuwa na umuhimu tena baada ya miaka 50 ya uhai wake.
2. Kero za Muungano zimeshindwa kupata suluhisho/muafaka kwa manufaa ya wote.
3. Muundo wa Serikali 3 ndio jawabu pekee kwasababu nilizotoa hapo juu. Na kwangu mimi hatua hii ni muendelezo wa hali halisi...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Afadhali huyu Dada anaonekana kuwa na uwezo wa kufikiria. Simsikii "le mutus" William Malecela akichangia suala hili! Kwasababu wengi ni bendera fuats upepo au kwa jina jingine ni vibaraka wa CCM ya Matapeli (Kingunge and the Gang)

    ReplyDelete
  2. Wasema pweke hawasogei pnd hiz
    Mw, mke mwny hekma,ana akil anawaza na kufikiri kabwla ya kusema kaongea maneno machache yenye kueleweka....HIZ NI ZAMA ZA UKWLI NA UWAZ SEREKALI 3 NDIO SULUHISHO.

    ReplyDelete
  3. Ndiyo maana Le Mutuz - Sauti za Umeme - @NYC hakuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye EAC badala yake mama huyu ndiye akaingia pamoja na mapungufu yake kuhusu mambo ya chini.

    ReplyDelete
  4. KERO ZA SERIKALI MBILI AFADHALI YA MATATIZO YATAKAYOTIKEA SERIKALI 3

    ReplyDelete
  5. Hakuna suluisho lolote litakalopatikana kwa hizo serikali 3 zaidi ya kuzidi kuumia kwa wananchi wenye kipato cha chini kwa kupandishiwa kodi ili ipatikane ela ya ku3ndesha hiyo serikali ya tatu. Km serikali mbili imekuwa ni shida na tumeshindwa kuisimamia kisa eti muungano umefikia kikomo mi naona ni bora muungano uvunjwe kabisa kuliko swala la serikali 3 zitakazo tumaliza kiuchumi .mm naona ni muungano ufe au serikali 2 zibaki hivyo hivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwanza mbona hajaeleza faida za serikali tatu au kakurupuka kafata mkumbo tu

      Delete
  6. still watu wanatafuta kiki kupitia hutuba ya raisi na wakati kesha waambia maamuzi wanayoo waliochaguliwa kusimamia katiba..
    pili hivi hiyo serekal ya 3 itakuwaje wakati haina vyanzo vya mapato,
    nakama itakuwepo itatubidi watu wa bara turudi kwenye jina letu la Tanganyika maana Tanzania lilikuwa ni muunganiko wa inchi 2,
    fikirieni mazeeee nasio kuleta ubishi 2...hao wabunge wanatafuta kiki tu mbona hatasiku moja hawakutoka kwenye vyombo vya habari na kutoa maelezo yao

    ReplyDelete
  7. Aibu Sana kuwa name viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri name naomba kutanguliza samahani Kama kuna mtu atahisi nimemtukana.

    Dada yangu Shyrose umetoa very weak argument compared to the level of your status. Kusema aina ya Muungano uliopo umefika kikomo just kwa vile umekaa kwa miaka 50 ni sababu ya mtu mwenye uvivu wa fikra. Ningetegemea sababu za msingi na wala si umri wa Muungano.
    Kuhusu kero za Muungano Raisi amesema zimebaki 6 kutoka 34. Ningetegemea ukosoe kwa Takwimu ili kuonyesha Raisi anayoyasema kwamba asilimia 82 ya kero za Muungano zimetatuliwa si kweli. Au ungetueleza kuna kero sugu ambazo hazitatuliki na bila utatuzi wake Muungano uliopo hauna tija

    Sababu ya 3 ndiyo inathibitisha zaidi uvivu wa kufikiri.

    Mbunge Kama kiongozi kwenye jamii tusaidie kwa kuchambua mambo ili tuelewe na kufanya maamuzi sahihi muda ukifika kuliko kutoa kauli za kitoto na kishabiki kwenye mambo ya msingi ya mustakabali wa nchi yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad