HENRY KILEWO" WANAKALENGA TUNAJUA MAAMUZI YALIYOFANYIKA SIYO YENU BALI TUME YA UCHAGUZI NA POLISI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Henry Kilewo Ameandika yafuatayo katika Ukurasa Wake wa Facebook kuhusu Uchaguzi wa Jana katika Jimbo la Kalenga Ambapo CCM waliibuka Washindi:

"Mapambano yanaendelea,hatujafa moyo, hatujahuzunika na wala hatutarudi nyuma, safari ndiyo inaanza kuwa na chachu ya mafanikio huku tukiendelea kuwa imara na kuimarika zaidi... wanakalenga tutaendelea kuongea na nyie na tunajua maamuzi yaliyofanyika yalikuwa siyo yenu bali Tume ya Taifa ya uchaguzi iliamua kuucheza mchezo mchafu pamoja na jeshi la polisi.

Hatujashindwa na kamwe hatutashindwa wala kukubali kushindwa pasipo na mazigira huru"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM tumechoka na ufisadi wenu, tutaonana jimbo la chalinze dada yenu ridhiwan lazima achekee chooni pumbafuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahahahaha kwa chalinze nakuonea huruma labda tafuteni kwingine, mmekwisha chadema hamna mpya, wananchi wameamka sasa mtajibeba na chama chenu cha ukabila na udini hatu hawajalala kama mnavyofikiria ni bora uchague chama kilichoimara na chenye nguvu, sio nyie, bado tunaitamani sana aman tunaona watu huko africa ya kati wanavyohangaika na kuuwawa hovyo watu wanaacha nchi zao wanaenda kuishi kama watumwa nchi nyingine ney, jipangeni upya

      Delete
  2. Kiruuuuuuuuu" Huyu jamaa Si Yule mume Wa Joyce kiria aliiponda sn Chadema tar 19/1/2014 MIMI Nilijua hawako uko' na kusema mwenyekiti hana mahawara Kila kona????? Kiru" kulikoni"""

    ReplyDelete
  3. Si ndo wale bendera fauta UPEPO?

    ReplyDelete
  4. Mrudisheni zito. Polish ndo walipiga kura au? Tuelewesheni!!!!!

    ReplyDelete
  5. Huyu jamaa nadhani hana akili timamu. Atakuwa shoga huyu

    ReplyDelete
  6. Shindaneni kwa hoja na waamuzi ni wanachi kama wavyoamua. Wananchi wanajali sera angalieni mlipokosea. Huwezi kuwa na 20% hakafu usema umeibiwaiwa kura
    wanachi wamerundisha kadi ma wameonekana na kutoa siri za chama. Cha maana nikurekebisha sera za chama na uongozi kwa ujumla

    ReplyDelete
  7. Ccm Oyeeeee Nyerere alitabiri msipoangalia baada ya miaka mitano hakuna upizani

    ReplyDelete
  8. Ccm wote mbulula wasenge

    ReplyDelete
  9. Usenge wa CCM unalipa inabidi Chadema nao waige,,,,pole mdau Chadema ndio wamezidi kuwa Wasenge kupitiliza CCM nambariii mojaaa haina mpinzani hatakama mafisadi bado wanakalenga tunaipenda.

    ReplyDelete
  10. huyo nae akaoshe vyombo huko.

    ReplyDelete
  11. Nanyie wana kalenga mnakubali kuwa na uyo shoga lema

    ReplyDelete
  12. tuko pamoja kamanda, kushindwa kwa kalenga siyo mwisho wa safari, safari ndiyo kwanza inaanza!! Mungu yupo, ninani aliyefikiria siku moja Marekani itapata Raisi mweusi? na akapatikana, kwahiyo wanachadema msivunjike moyo, bado huko vijijini wako nyuma saana, wataamka tu taratibu.

    ReplyDelete
  13. Chadema hakina sera kina sera za uongo na fujo na msipojirekebisha mtaambulia vyumbi jeusi

    ReplyDelete
  14. Wote mambumbu

    ReplyDelete
  15. Ndio mjue kwamba tumewachoka, hamna sera zaidi ya uongo, ugomvi na jazba sijui ndio mnafundishwa kuongea kwa jazba, badilisheni uongozi vinginevyo mzimu wa Zitto na wenzake ndio huo unawarudia tumejua siri yenu kumbe mlikuwa mnatembelea nyota ya zitto, vimewashuka, hao ndio Chadema wanajifanya wabaaaabe kwishnei

    ReplyDelete
  16. mdau wa 11:45, kwani sera ninini? tufafanulie basi, maanake unaweza kuwaunasema kitu usichokijua, hilo ndiyo baya zaidi, maanake nyie vijana wa siku hizi mnatia huruma, elimu zenu ni duni sana, na ujinga wenu ndiyo unawafanya mzidi kudharauliwa na kudanganyika!!

    ReplyDelete
  17. Kama chadema wanavyowadanyanya!!" mbowe anadai ana uchungu na nchi mbona anayumba dubai kimada viti maalum. Hakuna mwenye uchungu na nchi ilavwaba uchu wa madaraka kila mtu anataka kufika Ukulu na jujinufaisha mwenywe. I wish nyerere arudi hata kwa siku moja aone nchi ilipofikia

    ReplyDelete
    Replies
    1. mimi ninauchungu na nchi....kabwe ndo msenge kuma balaaaa!!!!!!!!!!!ukurutu tu basi

      Delete
  18. Chadema wote kumamayo zenu,mbwa nyie,hakuna km ccm bana,huyo shoga anaeuza sura hapo ni mtoto mdg sana hata siasa haijui kuma huyo,kasoma arusha sec nimemuacha shule matako huyovanajidai eti nae ana uchungu na chama wakati hawara wa mama yake ni mbunge wa ccm,dogo acha kufata upepo kuma ww,chalinze pia ni yetu km huamini ww na huyo alfonce mawazo wako mtakuwa mawazo kweli mwaka huu...ccm oyeeeeeeee,ccm saaaaafiiii wapinzani mtaipenda

    ReplyDelete
  19. acheni matusi watu wa ccm

    ReplyDelete
  20. acheni matusi watu wa ccm

    ReplyDelete
  21. ndiyo ccccmmm mpya hiyo!!! ya mambumbumbu!!! kutukana tuuuu! hizo ndizo sera zaooo!!! big up!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. vyadema ni wangese tu na kamwe hawatafanikiwa maana hawana nia nzuri nasi, wacpobadilika wataishia kuandika facebook hvyohvyo

      Delete
  22. 'Mukulu' alituonya tusikubali kuonewa, sasa hivi mtajuta, tutaenda nanyi sambamba.......mkirusha dongo, tunarusha madongo, mkirusha tusi tunarusha matusi......... tumechoka kuonewa, kila siku CCM, CCM hamchoki !!! Fanyeni yenu, muiache CCM miaka 800, chama kubwa ndio baba lao!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad