HENRY KILEWO"SIKUTEGEMEA HOTUBA NZURI...HAKIKA MAHESABU YA SEREKALI MBILI YAMESHAPANGWA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika Ukurasa Wa Henry Kilewo wa Chadema Ametoa hisia zake kuhusu Hotuba ya Jana ya Raisi katika Bunge la Katiba....Jisomee Hapo chini:

"Pole Watanzania, maana wahenga wanasema kibovu huja na kibovu, kimsingi sikutegemee hutuba nzuri ya kiuongozi bali nilitegemea hutuba mbovu kwa aina ya anayehutubia.
Kimsingi kiongozi mbovu huongea hutuba mbovu na ndicho kilichotokea, kwa maana hiyo kwa hali halisi mliyoiona msitegemee katiba ya wananchi.

Kwani tayari na mahesabu wamekwisha fanya yakuwa ilinserikali 2 zipite wanahitaji wajumbe 16 kutoka zanzibar, huku akinanga maoni ya wananchi ya serikali 3 ili yapite yanahitaji wajumbe 80 kutoka zanzibar kuyaunga mkono.

Kwa maana nyingi wanaweza kununua hawo wajumbe 16 ili kutimiza matakwa yao ya serikali2

Hofu kubwa ya chama tawala ni kuondoka madarakani iwapo kutapatikanika serikali 3 na kama mnavyofahamu ccm haijawahi kuishinda cuf zanzibar na huwo ndiyo ukweli, Na hofu nyingine ni ccm kufa, yaani ASP Itarudi kwa upande wa Zanzibar na Tanu kwa upande wa Tanganyika, so hapa ccm wanaangalia maslahi ya chama chao na siyo nchi.

Ila hatutakubali kupitishwa kwa katiba ya ccm bali katiba ya wananchi waliyopendekeza, ikishindikana ni bora kurudi bila katiba mpaka hapo tutakapo pata serikali makini itakayoweza kusimamia mchakato huwo.

Kwa wale ambao hamkupitia post yangu ya jana naomba mrejee nilichopost, pili Nchimbi aliniita mimi ni muogo ila leo yeye ndiye kawa muongo kwa wale mliyokuwa mnafuatilia.

Hongera Warioba ulitoa hutuba ya kiuongozi na Kimamlaka kuliko hii ya vijembe na ngonjera, Nina uhakika Watanzania tuliyowengi tupo nyuma yako pamoja na tume yako kusimamia walichotaka Watanzania, Ikishindikana wakataka kulazimisha kuipata katiba waitakayo ccm njia zipo nyingi za kudai katiba ya Wananchi.

WATAKAO PONDA TUTAENDELEA KUWAELIMISHA NA KUWA NAO KITU KIMOJA SIKU MOJA.

HOTUBA YA RAIS NAISIKILIZA NAPATA HOMA, INANISIHI KULIA NA KUNIPA MAUMIVU YA TANZ TUITAKAYO WANANCHI & WAITAKAYO VIONGOZI:

Kama Kiongozi ameona hoja mama ni Muungano wa Serikali.
Muhimu ni kuzingatia na kuhakikisha tunapata Muungano bora unaotakwa na wananchi na si Viongozi wa upande mmoja. Ikishindikana hapo iwe ruksa kwa watz kuitafuta Katiba waitakayo na wenye Imani nayo kwa nguvu ya sauti yao na si kwa njia ya sauti ya viongozi wa upande mmja kuwasemea. Inawezekana watanzania tukiamua, Viongozi waache masihara.
“Haya ni maneno yangu na Bunge hl ndo lenye maamuzi” yatakuwaje maamuzi ya Bunge ikiwa miongoni mwa wajumbe kuna mkakati maalum wa kichama kila kukicha. Na wewe upo upande huo!
Nikizaliwa simjui baba hainizuii kumtafuta na kumjua baba yng mzazi..Nimezaliwa nje ya Tanganyika lkn hainizuii kuitafuta Tanganyika.. Kutumia hoja ya tuliozaliwa miaka 64 na kuendelea tusitafute Tang ni point lesss.
Ni kweli kutunga Katiba ni suala zito na kubwa sana nakubaliana na wewe Kiongozi. Maneno haya naya dediketi kwa wajumbe wa CCM sana sana kwa kuwa naona yanawahusu.
Huu haukuwa uzinduzi bali darasa la kubadili upepo wa Jaji J. S. WARIOBA. Mh Warioba aliyoyazungumza hayakuwa maneno yk binafsi au Tume bali yalikuwa maneno, mawazo na msimamo wa wananchi ambapo nguvu ya kukusanya maoni aliipata baada ya wewe kumuamini na kumteua kuwa Mwenyekiti wa Tume. Swali lng ni Je, uliyozungumza wewe ni maneno na msimamo wa nani?? Je kabla ujaja kuzungumza na wajumbe hukupata nafasi ya kuzungumza na wabunge wa CCM? Na kama ulikutana nao mlipanga nn?
Wakati ukianza kuhutubia niliamini unaanza kwa nasaha na ujumbe mwema. Mwishoni nikagundua unapinga maoni ya wananchi yaliyowasilishwa na Warioba na kujibu hoja za Warioba ukisahau ni maoni ya wananchi na kudhani ni msimamo wa Jaji mstaafu S. WARIOBA. Ktk hilo tumepoteza mabilioni ya pesa ktk mchakato unaominywa ukweli na usahihi na baadhi ya wajumbe wa chama fulani.
Katika hili mmeonyesha dharau kwa Mtu mzito na mwenye historia ya Awamu nzito ya kwanza JAJI J. S. WARIOBA. NA HAKIKA HATA NYERERE ANGEKUWEPO ASINGEPENDEZWA KWA KUWA ALIKUWA MUUMINI WA MATAKWA YA WANANCHI NA MABADILIKO"
Source:Henry Kilewo Facebook Profile
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We dogo siasa unaijulia wapi fala ww nakujidai una huruma na nchi? Chadema nyie blablaaa zimewazidi wajinga nyie tena ww dogo mtoto wa mama uliesoma na hela za CCM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbe na wewe ni pumbavu uliyezaliwa na malaya ndo maana unasifia umalaya! So kufuata msimamo wa ccm ndo kujua siasa?

      Delete
    2. Kumbe na wewe ni pumbavu uliyezaliwa na malaya ndo maana unasifia umalaya! So kufuata msimamo wa ccm ndo kujua siasa?

      Delete
  2. Hivi huyo Henry Kilewo ndio nani? Hebu tujulisheni, au katumwa?

    ReplyDelete
  3. Hahahaa kwani Hawa chadema wametufanyia nini? Wanatafuta KiKi kupitia hotuba ya Jk, deem maamuz ya mwisho wanayo wabunge Na walioteuliwa kushughulikia katiba...tumesikiliz tumeelewa hatutaki propaganda zenuuu

    ReplyDelete
  4. we Anonymous kumbe mjinga sn ww ila sikushngai inaonekana huna elimu na km umesoma bs hukuelimika

    ReplyDelete
  5. Toa yako nzima kama hiyo hotuba mbovu

    ReplyDelete
  6. Duu maskin watanzania tutaburuzwa mpaka tukome,kiukwel ccm n mbovu tena sana tu lkn Kwa ujinga wa tz kiukwel kabsa hakuna chama ambacho kippo tayar kuitoa ccm na sijui n kwann?

    ReplyDelete
  7. Hotuba ovyo,kaz kuchekacheka kama anatongozwa!Bola kuvunja muungano

    ReplyDelete
  8. Kucheka ni silka ya mtu mbona we kazi yako kutombatomba hatusemi au una beef na Mr President?

    ReplyDelete
  9. acha ushabiki wa kisenge kilewo zingatia uchambuzi usiwe na akili tope na mambo ya kuambiwa, hiyo cuf walishinda lini zanzibar mpumbavu mkubwa wewe.

    ReplyDelete
  10. Kiukweli ile haikuwa horuba ya rais. Ikumbukwe kuwa rais huwa ni watu wote walio na wasio na chama kwahyo alitakiwa kutoa msimamo wa kiuongozi na sio kuonyesha msimamo wa chama chake. Alitakiwa kuwa neutral na kama alijua chama chake kinataka serikali 2 kwann aliunda tume?"ilikuwa na haja gani ya kupoteza pesa za kukusanya maoni ile hali maoni ya wananchi hayathaminiwi? Msipende kutukana tu bila kuchambua ukweli wa jambo lililopo mezani.

    ReplyDelete
  11. Kiukweli ile haikuwa horuba ya rais. Ikumbukwe kuwa rais huwa ni watu wote walio na wasio na chama kwahyo alitakiwa kutoa msimamo wa kiuongozi na sio kuonyesha msimamo wa chama chake. Alitakiwa kuwa neutral na kama alijua chama chake kinataka serikali 2 kwann aliunda tume?"ilikuwa na haja gani ya kupoteza pesa za kukusanya maoni ile hali maoni ya wananchi hayathaminiwi? Msipende kutukana tu bila kuchambua ukweli wa jambo lililopo mezani.

    ReplyDelete
  12. Kiukweli ile haikuwa horuba ya rais. Ikumbukwe kuwa rais huwa ni watu wote walio na wasio na chama kwahyo alitakiwa kutoa msimamo wa kiuongozi na sio kuonyesha msimamo wa chama chake. Alitakiwa kuwa neutral na kama alijua chama chake kinataka serikali 2 kwann aliunda tume?"ilikuwa na haja gani ya kupoteza pesa za kukusanya maoni ile hali maoni ya wananchi hayathaminiwi? Msipende kutukana tu bila kuchambua ukweli wa jambo lililopo mezani.

    ReplyDelete
  13. Rais alichokuwa anafanya ni kuwahusia waangalie athari ambazo zitatokea katika serikali tatu mfano uendeshaji wa serikali ya muungano sasa awe neutro hata kwa mambo ya kijinga mimtu migumu kuelewa tatizo mnakaririshwa na we kileo kachambe ulale huna jipya

    ReplyDelete
  14. Raisi alikuwa sahihi sana! Bila kujali chama chochote

    ReplyDelete
  15. Alichokosea kilewo nini apa? Ametoa mawazo yake jaman

    ReplyDelete
  16. mjifunze kuheshimu mawazo ya mtu watanzania Kiwelo ametoa mawazo yake kama hukubaliani naye huna haja ya kumuita mjinga na mpumbavu wewe ndy mjinga ndy maana huelewi maana ya kuheshimu mawazo ya mtu.....Mitanzania ni mijitu mijinga na migumu mno kuelewa kuliko watu wote duniani

    ReplyDelete

Top Post Ad