INASIKITISHA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO WAKIWA WAMELALA TABORA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme.

Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi peke yao  huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. au gass...bora kupikia mkaa...jamani kha!

    ReplyDelete
  2. Poleni Jamani

    ReplyDelete
  3. Wazazi wao walikuwa wapi? Jamani mbona wana roho mbaya, mida ya saa moja watoto, wa shule wanajiandaa kwenda shule? Wazazi ni wazembe, R.I.P watoto

    ReplyDelete
  4. PUMZIKENI KWA AMAN

    ReplyDelete
  5. mungu ailaze miili ya marehemu mahali pema peponi amen

    ReplyDelete
  6. Ina lilah wainalilah rajeun

    ReplyDelete
  7. Mungu uwapokee malaika hawa

    ReplyDelete
  8. Dah inatia uchungu sana polen

    ReplyDelete
  9. Dah inatia uchungu sana polen

    ReplyDelete

Top Post Ad