INSTAGRAM KUNA MAMBO ETI HUYU NDIO DEMU MWINGINE ANAYETOKA NA DIAMOND

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwamujibu wa TeamUkwelinaUwazi instagram.... Nanukuu....
Umbea wa mjini ambao unajulikana Dar nzima na kwa watu wa karibu wa dangote na madame ila kuna watu ambao hawaujui Pia nimeona niwajuze na nyie ambao hamjaupata .. Huyu ndio demu anaetoka na dangote tena alikua ni demu wa mtu wa karibu yake kama mnamjua Prezi Tito.. Huyo prez Tito na alikua best. Sana na petitman ila kwa sasa naona urafiki umeyumba sababu Ya hii ishu .. Demu anaitwa latifa almaarufu kama Latifah Tito .. Sasa dangote hapo ndio anapomalizia stress Za jiji na madame anajua hilo yaani sio Siri demu yupo na sangote kwenye starehe zote mara kwa mara utawaona skylite pamoja na group la akina sheta.. Amefikia hatua hadi kapangiwa na dangote kinondoni kwa manyanya pale wanapouza baiskel.. Prezitito hana sauti maana na yeye ni Mario kama alivyo petitman si unajua tena hawa Mario hua hawanaga kitu basi hata sauti hawana wanaishiaga kulalamika chini kwa chini .. Basi sasa hiyo ndio ishu inayoendelea mjin hata madame analijua hilo ila ndio atafanya nini maana Latifah mbabe balaa hahaha chezaea Halima kimwana wewe harafu mnamtukana Halima nyooo hamjui kama ndio tulizo la dangote kwani dangote si anajua kabisa kua Halima na wema haziendani harafu si wema ndio ubavu wa dangote plus kwani dangote na Halima wameshare tumbo moja lakini hamjiulizi kwanini bado dangote hatengenezi njia hawa watu wakaelewana ndio kwanza yupo na Halima wake kipenzi .. Mwenyewe anakwambia salamu zangu Za pili ziende kwa dada yangu Halima mwambieni nampenda sana.. Halima ana nguvu kuliko madameeeee... Sisi bado tunangojea movie .... Oopszion haha madame eti anasema Latifah mbaya hamuingiii haya basi amuuluze dangote kamfatia nini huyo latifah ???? Harafu walikuaga wanaelewana sana dah huyu dangote anapenda vya karibu kama Clement vile..........Ufafanuzi:Dangote- Diamond, Madame-Wemasepatu
Teamukwelina uwazi mara nyingi huwahawakosei
credit : swahilitz 


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TEAMUKWELINAUWAZI. Mchonganishi...Mbea...na Mwongo. Watasubiri sana mwaka huu. Diamond & Wema milele daima

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMEONAEEE TENA WAKAOGEEEE MALAYA CHIPUKIZI MSIOJUA KUOSHA MIKUNDU YENU INAYONUKA MDA WOTE MWACHENI WEMA WA WATU

      Delete
  2. sawa.......wema atamucha diamond muda si mrefu,

    ReplyDelete
  3. acheni usenge mbona mnapenda kumpa stress madame wetu

    ReplyDelete
  4. Wema na domo wote wazinzi! kwahiyo hatushangai domo kutoka na huyo dem. Wamezoeana kwa hilo ninachojua mm wala halimpi presha wema. Wema anamfahamu vizuri kama domo nimpenda michepuo, hio nikawaida tu!

    ReplyDelete
  5. Wema na domo wote wazinzi! kwahiyo hatushangai domo kutoka na huyo dem. Wamezoeana kwa hilo ninachojua mm wala halimpi presha wema. Wema anamfahamu vizuri kama domo nimpenda michepuo, hio nikawaida tu!

    ReplyDelete
  6. Ndo ustar wa kibongo umaarufu kila kukicha kwa ngono zembe, walikuwepo maarufu zadi yenu michael jackson dunia nzima ilikua kiganjani mwake, leo ni udongo tu amerudi huko tulikotoka, sembuse nyie ndg zngu wa kibongo wengine kujichamba kwenyewe mmejua juzi tu, limbukeni ziwe na kiasi zisipitilie, kichefuchefu jaman kila matangazo tu, kumanina zenu nyie mbwa koko limbukeni wa tz, elimu yenyewe hamna vichwan mwenu,[polen sana

    ReplyDelete
  7. hata nyie teamukwelinauwazi wamalaya na bwana zenu mbona hamtangazi yenu kuma nyie?kila siku wema wema malaya bikira nyie mnaumia kwakua amewazidi haya kwakua nyie ndimu chachueni sasa mzidi kumpa jinaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Michepuko dili, njia kuu foleni

    ReplyDelete
  9. Yeah, ni kweli huyo ratifa mbabe, ila hana lolote, me mmesoma nae, 4m1, hadi 4m4, wal ul asr kibaha, hana jipya mzuri na ana shep, ila amfikii wema

    ReplyDelete
  10. Huyo dem nae atakua fala mbona huo ubabe wake asiuonyeshe anajua kabisa wema na dai wanatoka angekua anajiamini ye ndo dem wa dai amgekaa kimya?hana lolote na ubabe mavi wake pamoja na huyo team ukweli uongo ni mzee wa kutunga anatafuta tu kiki hana lolote

    ReplyDelete
  11. hata mkisema nini mi naona wivu ndo unawasumbua tu lakin madam na diamond forever.

    ReplyDelete
  12. Wapi Penseli utasubiriiiii latifa Huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad