JAY Z AKATAA KUA BEST MAN KATIKA HARUSI YA KANYE WEST

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutoka kwenye mitandao tofauti ya Marekani kuna stori zimemake headline zinazowahusisha Jay Z na Kanye West ambao ni washkaji walioshirikiana kufanya album moja ya Watch the Throne ambayo ilitoka August 08 2011.
Story hiyo inasema kuwa Jay Z amegoma kuwa best man kwenye harusi ya Kanye west na mpenzi wake Kim Kardashian.
Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni  kusemekana kuwa Jay Z hapendi na hayuko tayari kutokea na kuonekana kwenye Reality Tv show,Jiga ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 44 ni mume wa Beyonce na tayari ni baba wa mtoto wa miaka 2 aitwae Blue Ivy.
Kwa sababu hizo ni kwamba Jay Z hatapenda kutokea kwenye show ya maisha ya familia ya Kardashian maarufu kama The Kardashians,gazeti la Daily Star limeandika kuwa Jay Z ndiye msanii rafiki mkubwa wa Kanye West na anavigezo vyote kuwa msimamizi wake,
Masharti aliyoweka Jay Z amedai atakubali kuwa Best man wa Kanye West endapo kama hapatakuwa na mpiga picha yoyote wa kipindi hicho cha Kim K,mpaka sasa waongozaji wa kipindi cha Kim K na mabosi wa kituo cha E wako tayari kutoa hata dola milioni 1 ilikupata Picha za Jay z na Beyonce kwenye harusi hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jus loving jay z hanaga drama za kipuuzi

    ReplyDelete
  2. Yule jamaa anamsimamo hapendagi showing off

    ReplyDelete
  3. sio kama wasanii wa bongo kupenda kuuzu sura..yaani hapo wanekubali fasta lol..

    ReplyDelete
  4. Breaking News:
    Diamond platnumz of Tanzania has agreed to be the best man in kanye's wedding. Diamond, a renowned Tanzania artist is said to be excited about the opportunity.
    Diamond has been friends with Kanye and they have been known to be in the talking of making an album. However, it is not yet known if Wema will be in the wedding. You have heard it first here

    ReplyDelete
  5. si kama jigger hapendi kuuza ila anauza sura kwa pesa. he is money maker so hapo hko kipindi wakimpa mkwanja wa maana lazima atakubali. wenzetu kwao everythin is money. wanajiweka expensive na hawaonekani hovyo kujipa thamani. wanadhamini campaign za uchaguzi lakini hawajivalishi majezi na kutokea kwenye mijadala kihasarahasara. huku tz wasanii wanajivalisha majezi ya ccm kwa pesa kidogo hawajui wanapoteza thamani yao, coz artist thamani yako ni mashabiki. kama mimi ni chama kingine siipendi ccm nikikuona na jazy ya ccm thats means ushanipoteza. nikikuona kirahisi kwenye mihadhara siwezi kuja kwenye show ama uzinduzi wako wowote coz nakutana na wewe hata kwenye daladala sasa utaniambia nini. thats the wat it is

    ReplyDelete
    Replies
    1. ahaaaaaaaa

      Delete
    2. C useme wa chadema? A.k.a. Kandamana?

      Delete
  6. aaaaaaaaaaaahhh jay z noma...

    ReplyDelete
  7. We nana matako kweli hv huyo malya umemfumania na mmoja kt ya familia yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad