google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html JE NI KWELI UMAARUFU WA CHADEMA UNAPUNGUA? KAMA KWELI KWANINI? | UDAKU SPECIAL

JE NI KWELI UMAARUFU WA CHADEMA UNAPUNGUA? KAMA KWELI KWANINI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

IF YES...WHY? 
IF NO ...WHY?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wako kibiashara zaidi,wao na ccm lao nimoja,wametudharausana kutuona ss watanzania shidayetu nikuona helkota na sio naendeleo mengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. si haba, umetumwa wewe. hata kama chadema ktakua kibovu kiasi gani, kama una akili timamu huwezi kushabikia ccm

      Delete
  2. we admin umetumwa eeh!!

    ReplyDelete
  3. Umaarufu na mvuto wao kwa jamii umeshuka sana,miongoni mwa sababu ni
    Wako ki biashara zaidi,
    Wako ki dini zaidi,
    Ni chama ambacho hakina tofauti na duka au biashara ya familia
    Njia yao ya kupenda fujo na maandamano bila sababu msingi,
    Viongozi wake hawana elimu bali ni ujanjaujanja tu.
    Ufuska
    Kutegemea kundi kubwa la wahuni ambao wengi wao si wapiga kura bali ni washabiki tu.
    Na nyingine kibao.....

    ReplyDelete
  4. umeisha kabisa lakini ukweli nikwamba tanzania hakuna vyama kwasasa kila chama kinamtazamo wa kibinafsi zaidi hakuna cha upizani wala tawala wote wako kwaajili yao na familia zao. wanazuga tu

    ReplyDelete
  5. yaani salsa kimekuwa chama cha kama vile kampuni ya mtu binafsi na 2015 idadi ya wapiga kura itapungua kwasababu wanachi wengi hawanaimani name chama chochote

    ReplyDelete
  6. Mapambano na zito yamewaondolea iman Kwa wananchi.
    Kila msimu viongozi WA juu hawabadiliki.
    Ukabila.......
    Hawana watu waliowatengeneza kuja kushika nchi tofauti na Chama tawala kila atakaye simamishwa ujue. Katengenezwa kuwa kiongozi.....
    Slaa na swahiba wake mbowe hawana hadhi ya kuongoza taifa kubwa kama la tanzania.......
    Wana uchu WA madaraka ambao wanauonyesha waziwaz kabisa dhahiri wakipewa nchi wataleta ya mariale kutaka Kilimanjaro iwe taifa huru.......
    Niliwakubali sana chadema ila Kwa ujinga wao wakakubali kuvurugwa na Pandikizi.........
    Mliposikia zito anatangaza boa yake ya kugombea urais 2015 mlitakiwa muhamasike mwamba Chama macho Kina wazalendo kama sikamona(zito)...........
    Kukubali kuvurugwa kama vyama vingine vya upinzani vinavyooneha kuwa na nguvu miaka iliyopita kama nccr mageuzi....cuf ..........
    Mnao wanaharakati wengi ila mnashindwa kuwatumia inawezekana hata tindu lissu mkaja kumvuruga nae labda kama ni mchaga mwenzenu.....
    Bora tuendelee kuongozwa na hao mafisadi WA nchi.......wanaweza kuwa na mapungufu ila hakuna kilichokamilika duniani......hata kwenye haya pia kuna mapungufu.......
    Mtauota sana Mti WA tanzania ila matunda yake itabaki hadithi kwenu.........ariyoseeeeee!

    ReplyDelete
  7. zito alikuwa kifaranga tu, hata kuondoka kwake hakujatikisa kitu, umaarafu bado upo na bado kinaaminika kama ndicho mbadala wa ccm, sema tu chaguzi sasa hv hamna, zipo hizo za vijijini tu, ambazo hata ufanyaje kwa sasa hv macccmm yatachukua tu, sababu ya elimu ndogo ya wenzetu wa vijijini, kwahiyo nasema chama bado kiko imara, mnaokiongelea vibaya ni nyie macccmm sababu mnakiogopa, kinaonyesha kinakuaribieni matumbo yenu.

    ReplyDelete


  8. wanafik tu wameyataka wenyewe uchu wa madaraka ukabila udin ndo vimekiuwa chama they are no longer chadema again

    ReplyDelete

Top Post Ad