JIDE: MIMI NA GARDNER TUNAISHI KAMA KAKA NA DADA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?

Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.

“Gardner ananipenda sana na mimi pia vilevile nampenda sana mume wangu. Mapenzi yetu yamepitiliza hadi tunajiona kama vile tumezaliwa tumbo moja na ndiyo maana nawaambia kuwa mimi na yeye tunaishi kama kaka na dada,” alifunguka Jide.

Akiendelea kuzungumza kwa kujiamini, Jide alisema kuwa hadi simu ya mkononi wanatumia moja kwa ajili ya mawasiliano.

“Mimi hapa sina simu, anayo mume wangu lakini wakati mwingine nakuwa nayo mimi ila muda mwingi anakuwa nayo Gardner,” alimalizia Jide.

Kwa makala zaidi kuhusu usichokijua juu ya maisha ya Jide, nenda kurasa za nane na tisa za gazeti hili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama ni kweli basi ni mfano mzuri wa kuigwa, hv blessed u r family (jide)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha uchokozi wewe. Jide hana family ana mme tu.

      Delete
    2. we nawe mshamba wa wapi?? kwani mume sio familia??

      Delete
  2. Hehee gadna malaya jaman jide pole sana hebu mwambie akupe simu yake ukae nayo kama atakubali

    ReplyDelete
  3. We nae acha ushamba we familia unajua mpaka uwe na watoto ndo familia

    ReplyDelete
  4. Ata akiwa malaya inakuhusu nin

    ReplyDelete
  5. Family sio lazima huwe na watoto, mume & mke ni familia tosha kabisa, huyu anony at 1:01 itakua katoka kigoma vijijin maana kwa ushamba wanaongoza,polen sana

    ReplyDelete
  6. Kitombi+mgumba=?

    ReplyDelete
  7. Wewe apo juu unaesema freemason naamini utakuwa ndie uliechora zombie kwenye mtihani wa kidato cha nne.unaweza thibitisha usemayo,,,,,,,.wewe baba yako hata kochi za kukalia sebuleni zimemshinda kazi kuita wenzenu freemason.na wewe pale juu unaesema mgumba mala sijui kitombi akili zako za kishoga ulitaka gadner aje akufire wewe na baba yako ili na nyie mtajirike sio.kazi kupinga kila kitu kuma nina zenu kabisa.

    ReplyDelete
  8. We msenge nini kinachokuuma kitu gani kama huyo gadna anakupa kula ni ww kwani sio kitombi tena ukome kutukana watu usiowajua mjinga mkubwa na uchi wako uliojaa majipu nguruwe pori ww.

    ReplyDelete
  9. nguruwe pori baba yako ndio maana kakuzaa wewe kima mzee majitu mingine misenge bikra kweli kwani jide kapenda kukosa watoto?na hata kama gadna nimalaya haimaanishi hampendi mkewe mafala nyie kwani mbona baba zenu malaya lakini wapo na mama zenu? na wewe hapo juu mbona baba yako msenge na amekuzaa wewe kuma kibuyu weee

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyoo!!!!!!,bona umepanic sana kuma mayo zako..tena wewe utakuwa jaydee mkundu wewe...aliyekwambia ujieunge na huo freemason nani kuma wewe!!!!fuga mbwa sasa kuma lako......kuhusu umalaya kila mtu malaya .....mbwa nyie mnapenda ubishi wakisenge....mikundu joto!

      Delete
  10. Acheni tabia za kizamani sasa mnatukanana hapa kwenye ukurasa wa jdee ili iweje fanyeni yenu kma jambo halikufai liache ucwe mwepesi wa kuchafua mazingira mnajitengenezea dhambi za bure

    ReplyDelete
  11. kiukweli natamani kukufahamu we unaejiita nana junior mwee nimekupenda bure

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukiona hivyo ujue balaa!!!!! maana hakuna anaenipenda wala kunitamani.

      Delete
  12. MI NAPENDA KUONA WATU PSYCO KAMA N.J YAN YE MATUSI KWAKE NI LGA NJEMA.....YAN MMEKALIA KUCRITICISE MAISHA YA WATU MBONA YENU HAMYASEMI JAMAN

    ReplyDelete
  13. wee unaesema jide mgumba vp wewe una mtoto na kama unae vp mwanao una mkataba na mungu au

    ReplyDelete
  14. Usimuite mtu mgumba ikiwa hujui mungu kapanga ww uwe nan. Tena wanao mwita mgumba hawana hata mtoto jaman achen mungu hanywi uji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nana acha upumbavu cheza na yote ila sio Mungu ww umekulia wapi? Tukana sana ila ujumbe umeupata!

      Delete
  15. Wahenga walisema ukimwombea mtu baya hakika yatakurudia mwenyewe Chung kimya chako hakuna anaependa aharbikiwe Hata kidogo

    ReplyDelete
  16. jokate ajui kutangaza jamani..anamlalia edzen wa watu..kaweka kuma tu basi..mweznie kasomea na anajua kutangaza sana....huyu malaya jokate vipi hebu angalieni tv 1,hebu aende akasomee uko alisilete zake,

    ReplyDelete
    Replies
    1. wivu umekujaa nana junior huna lolote. jokate anatangaza chanel O ije mshinda TV 1?

      Delete
  17. jamani angalieni wadau mnakosa..eti sasa wao ni watangazaji lakini anamiterview edzen!!!!!!kha hii kali jokate mfyuuuuu

    ReplyDelete
  18. wapi DIDA WA MITIKISIKOOOOO,IMEKULA KWAKE

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndo habari ya mujini..mtoto mwenyewe handsome alfu katulia mbaya...huyo dida full michizi,(age doesnt matter.)

      Delete
  19. Makuma wote tena yalojaa maji?mikundu yenu kama.....,nan asie malaya hapo juu kama wazaz wenu wasingekuwa malaya mngezaliwa nyie mafiraun?nyie wote tena mnaliwa .0713.

    ReplyDelete
    Replies
    1. 0713 ndo sehemu gani,au ndo chakula gani? mi mgeni hapa mjini

      Delete
  20. Big up maboy Nana wape tu watakueshimu pili jamaa wa hii blogu inabidi akulipe make watu tunaingia kukusoma wewe tusipo kukuta kwenye comment tunatoka

    ReplyDelete
  21. achen kufuru kwan mwenyez mungu ndo kapanga asizae sasa

    ReplyDelete
  22. Watu wakigoma tu ndio washamba ? shamba kigoma pekeyake? Kuna wengine ata kwao awapajui. Wao miji ya watu.

    ReplyDelete
  23. hakuna kufuru kubwa duniani kama mumeo kumwita kaka, au mkeo kumwita dada, halafu anaongeza ati kama wamezaliwa tumbo moja, aaaaah! kwa hiyo kaolewa na kaka yake!!!!!? halafu kitanda kimoja, halafu , , kuropoka kubaya sana. mmmmmmmmmmh labda ndio maana hawapati mtoto sasa mtoto atawaitaje!!!!!

    ReplyDelete
  24. Inasikitisha sana, sijui nyie mnaojadili mna umri gari, yaelekea maisha ya makuzi yanawasumbua, ipo siku mtakuja kujutia haya maneno msemayo. JD hana kosa kuumbwa na matatizo ya uzazi wala hakuomba awe hivyo, Duniani kila kiumbe kimeumbwa kwa makusudi, ndio maana kuna walemavu wa aina mbalimbali je na wao waliomba ulemavu! acheni kufuru duniani tunapita tu hata uwe na watoto kumi na tano na mali za kila aina ipo siku utawaacha na utazikwa peke yako. Hivyo tukumbuke uumbaji wa Mungu haupaswi kutolewa kasoro

    ReplyDelete

Top Post Ad