JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini.
Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu, lakini naamini siku moja atakuja na atanioa. Uhusiano wetu uko poa na tunawasiliana vizuri kila wakati,” alisema Kabula na kuongeza:

“Siwezi kusema atakuja lini lakini nawaambia kabisa wanaonizengea, watafute kitu kingine cha kufanya, mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.”
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Keep waiting Shoriii Jamaa kasha Funga Ndoa Longtime ago!!! Poleeeee.

    ReplyDelete
  2. Sasa huo ndo mkao gani

    ReplyDelete
  3. Acha ujinga wewe siuolewe na mez b.

    ReplyDelete
  4. Achaa ujinga wewe siuolewe na mez b.

    ReplyDelete
  5. utakaa apo shoo,mpaka uzeeke no bushoke no man

    ReplyDelete
  6. Da hawa ndio wabongo muvi, kishauza sana sasa ndio anamtaka, wakati pengine alipomtokea kamtolea nje!!

    ReplyDelete

Top Post Ad