KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA NI MAAJABU..WATUMIA MPAKA WAGANGA WA KIENYEJI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Karibia Week Sasa kama Si week, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!
Wakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.
Mganga maarufu nchini humo Ibrahim Mat Zin anayejulikana kama ‘Raja Bomoh Sedunia Nujum VIP’ alifanya tambiko kwenye uwanja wa ndege Kuala Lumpur Jumatatu hii kusaidia kuitafuta ndege hiyo ya MH370. Anadaiwa kuitwa na viongozi wa juu wa serikali.
“Nadhani ndege bado ipo angani ama ilianguka baharini,” alisema Ibrahim Mat Zin.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaaz kweli kweli!

    ReplyDelete
  2. Mungu ndokila kitu hao wazungu wanajifanya kujua kila kitu wawaulize free mason ilipo sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau nimekupenda ghafla..waniulize mimi nitawaonyesha ila dau lake nyama za watu waiopungua 10 maana kinawaneng'enesha watu washakufa basi watulie....kuma mae zao.

      Delete
  3. waje kwa dkt manyaunyau

    ReplyDelete
  4. Duh majanga haya

    ReplyDelete
  5. Mungu ndiyo jibu. inatakiwa kufunga na kuzidi kumuomba Mungu awape faraja waliondokewa na wenzi wao. Amen

    ReplyDelete

Top Post Ad