google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html LAZIMA AVUTE BANGI KABLA YA KUFANYA MAPENZI: USHAURI | UDAKU SPECIAL

LAZIMA AVUTE BANGI KABLA YA KUFANYA MAPENZI: USHAURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imekua tabia siku hizi yani kabla hatujaanza kufanya lolte lazima avute bangi kwanza , napia anipe na mimi nivute, huwa nafanya tu hivyo kwa sababu nampenda ila sasa imekuwa too much, mpaka inanitesa siku nyingine siwezi hata kuamka kichwa kinauma kutwa nzima. Naombeni ushauri.. wadau 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaha wee chalaaa angu niajee wewe! Kula k2 upate stimuuuuu. Hiyo ndo GANJA kudadadekiiii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Binadamu kutoka moshi ni jambo la kawaida au sio

      Delete
  2. achana nae kwani bangi k2 gani na inaongeza nn mwilini haina faida yoyote wanaume wapo wengi dada angalia pengine ucjidhuru la sivyo utalijua jiji bila bangi hatombi mh majanga

    ReplyDelete
  3. Siku si nyingi utaambiwa uvute unga... Wanaume wa teeele achana nae. Mtaishia maskini kuendekeza ulev na kushindwa kufanya kaz za maendeleo. Tafuta penginewe...hapo hakuna maisha...huenda mtungi haupand mpaka apate moshi....tehe tehe

    ReplyDelete
  4. Vp! Akishakuvutisha bange hakufili mkundu?

    ReplyDelete
  5. Kula ganja mtoto

    ReplyDelete
  6. hapo ndo mnaponichanganya,yani unafanya mambo ya ajabu,angalia kilicho mkuta ray c baadae utavuta unga,achana nae huyo

    ReplyDelete
  7. Huyk siyo mwanaune wa maisha yaki achana naye

    ReplyDelete
  8. Dada wanaume tupo,wengi achana nae,tafuta mwingine.atakuua huyo.

    ReplyDelete
  9. Raaaahaaaaaa jaman utamuuuuu! Wavutaj mpo?

    ReplyDelete
  10. Unashanga nin

    ReplyDelete
  11. Usiwe mpumbavu lofa wewe!Huvifahamu vitu vya kuiga?Unawaaibisha wanawake wenzako!

    ReplyDelete
  12. yaan wewe lazima hata darasani ulikuwa unakuwa wa mwisho unajua kabisa bangi ni haramu na ni mbaya for any ways lakini unavuta eti kwa kuwa unampenda stupid kabisa ndio maana umeshindwa hata kuamua mwenyewe mpaka unaanika ujinga huo kwa jamii..yaan wewe lazima anakuingilia kinyume na maumbile, na mwanaume ampendae mwanamke wake hawezi mfanyia vitu kama hivo kesho atachanganya unga kwenye bangi na utavuta alafu sasa utakuja ona shughuli yake...nyambaf kabisa wewe...

    ReplyDelete
  13. Nyie wote mnao shabikia bangi mnatombwa na kufirwa mikunduni mwenu.

    ReplyDelete
  14. Tatizo hapo huyo mwenzio imeshamuadhiri kisaikologia, sasa ucpokua makini ikikutawala na ww pia ndo kwisha kazi, la kuvunda halina ubani

    ReplyDelete
  15. Mkundu nawewe

    ReplyDelete
  16. Communication is the KEY, open up na mwambie ukweli unachojiskia.

    ReplyDelete
  17. MPE SM AVUTE BADALA YA BHANGI

    ReplyDelete
  18. Omba number Chalamila akuelexe ilivyo marimu kwasababu ya kupenda, alifanya vitu kama kikaragosi kama hivyo unavyo fanya ujuwe anatumia madawa ya kulevya utakapozama katika bangi ndipo cocani itatkuja mwisho atakuja kuku acha solemba amuka mwanamgu huyo hana mbale wala nyuma maisha yake ni ya wakati huo natumaini usingependa uhusisna wa aina hiyo you want someone you love you to day and tomorrow, wake up'

    ReplyDelete

Top Post Ad