MAUAJI MENGINE YA KIGAUDI YATOKEA KANISANI HUKO MOMBASA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema baada ya watu hao kutekeleza tukio hilo walikimbia kwa miguu kuelekea pasipo julikana.
Afisa wa polisi wa eneo hilo amesema hadi sasa wamefariki watu wawili na wengine kumi wamepata majeraha ya risasi nakukimbizwa hospitali.
Kikundi cha Al Shabaab kiliwahi kuhusishwa na tukio kama hili huko Nairobi lakini hivi sasa limetokea Mombasa.
Maafisa wa polisi wamesema wanaendelea kufanya uchunguzi wa kuwakamata watu hao japokuwa hadi sasa bado hawajapata tetesi yoyote juu ya watuhumiwa hao.
-Regina Iwole
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa itakuwa ni waislam ndo wamefanya tukio hili, huko kwao wanakotoka hakuna aman kila siku ni kuuwana tu mwanzo mwisho, mfano syria

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma la mamaako mchambia steel waya we umewaona? Nyokooo!

      Delete
  2. Ila kweli hao watakuwa waislam, tatzo lao hawajiamin na dini yao., kama kweli wanajua ni dini ya haki wamuombe Mungu ili washughulike na wakristo na c kutumia nguvu za mwili.

    ReplyDelete
  3. Waislamu hao, kwa maana makundi yote ya kigaidi ni ya kiislamu.

    ReplyDelete
  4. Tuondoe udini ila ukweli kwamba waislam sio wastaarabu kabisa, ila mungu hawahurumie hawa watu watoke kwnye hiyo iman iko njia ya hatarishi zaidi

    ReplyDelete
  5. Ao ni wa2 wabaya xana kitendo walichokifanya c kizuri kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad