MCHUNGAJI ANAYE HUBIRI AKIWA NA NYOKA SHINGONI AFARIKI DUNIA BAADA YA NYOKA HUYO KUMG'ATA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pasta anayejulikana kuhubiri akiwa amemweka nyoka shingoni ameaga dunia. Pasta Jamie Coots anayeamini kuwa kinga hutoka kwa mungu aliweza kupoteza maisha yake baada nyoka huyo wa sumu kumuuma akiwa akihubiria mbele ya maumini.

Ilikuwaje hadi pasta huyo kuhubiri na nyoka mgongoni?

Kupitia andiko la Marko 16:15-18, pasta huyo anaamini kuwa Yesu aliweza kuwaambia wakristo wote kuwa wanaweza kushika nyoka na hatawaumiza wala kuwadhuru bora tu uwe umebarikiwa na mungu mwenyewe.

Pasta huyo wa kanisa la Full Gospel Tabernacle in Jesus Name aliumwa na nyoka huyo mbele ya kanisa lake na ilimbidi kukimbizwa hadi nyumbani kwake bila kupelekwa hospitalini.

Wauguzi walipowasili nyumbani kwake waliweza kufukuzwa huku pasta huyo akiwa na imani kuwa mungu atamtibu ugonjwa wake, jambo ambalo halikufanyika
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. to heal acha kucheza na mungu wewe

    ReplyDelete
  2. kachelewa sana kuumwa na huyo nyoka.pumbavu zake.

    ReplyDelete
  3. hamna mungu.msenge kweli huyo jamaa

    ReplyDelete
  4. Lina iman zake za kishirikina laja mcingizia mwenye enzi mungu senge ili

    ReplyDelete
  5. Imani bila maarifa ni... Malizien wadau

    ReplyDelete
  6. MUNGU HAJARIBIWI NA UKITHUBUTU KUMJARIBU MUNGU UTAABIKA KM ALIVYOAAIBIKA HUYU JAMAA

    ReplyDelete
  7. freemason hawa

    ReplyDelete
  8. Oooooops….. ☜

    ReplyDelete
  9. Story zenu sometime kama feki, haielezei nchi gani au mji gani

    ReplyDelete
  10. Imani za kipuuzi ngoja akapigwe viboko kwa ujinga wao

    ReplyDelete
  11. Huyu jmnaa fremaaoos kwelii...tena huyo nyoka ni wakishirikinaa hiyoo afee kabisaa

    ReplyDelete
  12. Kweli mdau apo umenena

    ReplyDelete
  13. Wacha akome kwanza nyoka alishalaaniwa na Mungu kwa kukubali kutimiza na shetani toka kitabu cha mwanzo. Na pia Mungu aliweka uadu Kati yake na mwanamke sasa huyu mchungaji kisebengo alikuwa na agenda zake za kichawi na kishetani ndo maana alishinda akihubiri na joka. Kwanza sielewi kwa nini alikuwa anahatarisha usalama wa waumini wake.

    ReplyDelete
  14. naungana na nyie wadau kwamba inawezekana uyu alikua na iman za giza....ilaa unajiskiaje pale kwenye comment yako unapoandik MUNGU thn unafuatisha na tusi au unatanguliza tusi???? tumeogope MUNGU tusifanyie mzaha jina hili...kumbukeni nijina lipitalo kila jina....tubadilike

    ReplyDelete

Top Post Ad