MLINZI WA OBAMA AFUKUZWA KAZI KWA KULEWA CHAKARI AKIWA KAZINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jarida la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu ambao ni walinzi wa president wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi ufanyike.
Askari mmoja kati ya hao alikutwa amelewa pombe chakari kwenye hoteli moja huko Amsterdam ambapo Obama alienda kwa ajili ya mkutano wa mambo ya Nuclear.
Msemaji wa idara ya upelelezi Marekani alikataa kutoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo ingawa alisisitiza kuwa watatu hao wameachishwa kazi kwa muda huku uchunguzi ukiendelea.
Mwaka 2013 majasusi wawili waliondolewa katika kikosi cha ulinzi cha Rais Obama kufuatia tuhuma za kuhusika na kashfa ya ngono na utovu wa nidhamu.
Mwaka 2012 majasusi kadhaa waliachishwa kazi kufuatia madai kuwa walikodi makahaba walipokuwa mjini Cartagena Colombia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo zao..wanapenda nyuchi..ila huyo jamaa walimdrugisha ...

    ReplyDelete
  2. Kwa tabia hizo hata mm sipendezwi nazo, timua wote nyangumi

    ReplyDelete
  3. wanapata muda gani wa kunywa chakari wakati ni walinzi, i woder

    ReplyDelete
  4. Duniani kuna mambo...haya angalia na huku.....

    http://themonthlyjob.com/?refcode=9210

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wizi mtupu kudadadeki zako.

      Delete

Top Post Ad